Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Vipi akikutana na Biden huwa anampa salam au kitu kwa mkono huo huo au?

Maana sisi watu tunaotumia maleft sometimes hujisahau sana kuwa tunatumia mkono ambao sio sahihi kwenye jamii. So mtu mungine akiona hivyo atahisi umemdharau.
Hakuna mkono ambao sio sahihi.mambo mengine ni ujinga tu wakiafrika.Kuna jamii zilishatoka uko kwenye mambo yakubagua mikono ambayo tunazaliwa tunaikuta.
 
Ulitaka apige goti wakati anampa huo Ujumbe ? Nina uhakika Wafalme (Mababu zako kwanza ungepiga goti au kubusu Mkono wake au kutokumuanglia usoni)

To each their own....
 
Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Amekwisha watafuna sana mbona ,mana ameishi maisha ya Kifalme angali tumboni mwa Mama yake,Then kuhusu kupokea hati kwa shoto,Mimi vyeti nilivyopikea kwenye Graduations zote nimepokea kwa Shoto, then kulia nika shake hands na aliyenikabidhi.
 
Back
Top Bottom