The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Halafu majinga ya hivi ukimuuliza ina hasara gani linabaki hata hajui cha kujibu sababu babu na baba zake walisema hivyo.Hakuna mkono ambao sio sahihi, ni desturi tu.
JPM alimpa ubalozi kimkakati.Duuh kumbe jamaa ndio anamiliki Ile Mali? Hongera zake.
Fafanua mkuuJPM alimpa ubalozi kimkakati.
Hao kawala tokea ana balehe,,,kuzaliwa tu kwenye hio familia unavua vyupi vya kutosha ndo maana ile kesi ya wakina epstein huko visiwani kula vitoto vibichi nae ni mhusikaUfalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Huyo tangu mwanzo siyo mpenzi wa mademu.Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Kweli kabisa ndugu yangu. Maleft tunanyanyapaliwa sana ila hatulalamiki. Lakini wenzetu kitu kidogo wanakileta mitandaoni kama hivi.Hakuna mkono ambao sio sahihi, ni desturi tu.
Zinaa ni kiburudisho Cha watu masikini.Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Ukute jamaa pengine ni raisi wa nchi fulan kaenda kuomba msaada. Alafu akifika katika nchi yake ni mikwara mingi, nchi nzima inamuogopa na kumtii yeye tu.Watu weusi wengi ni Wajinga na Chawa kwa Wazungu
Wanandoa,sijui kwa sasaNi mgonjwa SI ulisikia ana cancer?
Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Ni kaka yake😎...Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Wa kwanza ni wewe ndio.maana ukajiita AzarelWatu weusi wengi ni Wajinga na Chawa kwa Wazungu
Bwana ako anaweza kujimwambafy kwa namna atakavyo. Alisha wahi kukutawala, anakuzidi kila kitu, lugha shuleni unatumia ya kwake hata hiyo bahasha nadhani akifika anaitupia tu pale.View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Kabisa kabisaUkute jamaa pengine ni raisi wa nchi fulan kaenda kuomba msaada. Alafu akifika katika nchi yake ni mikwara mingi, nchi nzima inamuogopa na kumtii yeye tu.
Kikongwe huyo ameshachoka hata kusimama.View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.