Suala la right na left ni jinsi ubongo wa mtu unavyofanya kazi, sio suala la kujifunza.Waingereza hawajui right from left,na mnawaita intelligent ila hamna kitu.I bet they even wipe with their right hands.
Yaani hapo Huyo Mfalme anachukulia tu kama amesimama na SokweBwana ako anaweza kujimwambafy kwa namna atakavyo. Alisha wahi kukutawala, anakuzidi kila kitu, lugha shuleni unatumia ya kwake hata hiyo bahasha nadhani akifika anaitupia tu pale.
Kuwa tu prince ilitosha kuwala madem na wanawake.Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Kwa wewe uliyeambiwa na waarabu, kwao mikono yote yake iko sawa.Kono la msarani..!
Wa kwanza ni wewe ndio.maana ukajiita AzarelWatu weusi wengi ni Wajinga na Chawa kwa Wazungu
We ni mweusi wa mwili na Roho.Ndio kama mimi ni mweusi nakubaliana na wewe
Vipi akikutana na Biden huwa anampa salam au kitu kwa mkono huo huo au?
Ikiwa wote wanatumia na wanafahamiana sidhani kaka italeta shida.
Maana sisi watu tunaotumia maleft sometimes hujisahau sana kuwa tunatumia mkono ambao sio sahihi kwenye jamii. So mtu mungine akiona hivyo atahisi umemdharau. +Nikijua mapema matumizi ya mkono wako ni upi wala haitakuwa na taflani ila isiwe ile ya @#}¢°×¢✓ NO!.
Hakuna tatizo, sehemu nyingi za vyakula nyama choma au za supu zilizochemshwa hushikwa na mkono wa kushoto wakati wa kumkatia mteja.Hivi kuna tatizo gani kutumia mkono wa kushoto au wa kulia kwenye shughuli yoyote, iwapo mikono itakuwa misafi kabla na baada ya kutumika?
Kwani Hana ulimi?Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Cha msingi huyo mfalme kapokea barua za utambulisho hata kama angepokea kwa kutumia mguu sawa tu yote maishaView attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Weka picha akitumia mkono wake wa kulia in a similar setting/scenario.View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Kila mbabe na mbabe wake na yeye anahenyeshwa.View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.