Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Hakuna tatizo, sehemu nyingi za vyakula nyama choma au za supu zilizochemshwa hushikwa na mkono wa kushoto wakati wa kumkatia mteja.
Kimsingi, kwa mtu msafi, hamna tofauti kati ya mikono hii miwili na hakuna sababu ya kuuchukia au kuudharau mkono mmoja wapo.
 
Hao kawala tokea ana balehe,,,kuzaliwa tu kwenye hio familia unavua vyupi vya kutosha ndo maana ile kesi ya wakina epstein huko visiwani kula vitoto vibichi nae ni mhusika
Hapana mkuu siye yeye ni mdogo wake wa kiume prince Andrew ambaye alikuwa kipenzi cha mama yake queen Elizabeth.
 
Hapana mkuu siye yeye ni mdogo wake wa kiume prince Andrew ambaye alikuwa kipenzi cha mama yake queen Elizabeth.
Aah nikamchanganya,,,,....ila yaleyale si unaona mdogo wake tu kala vyupi vya kutosha na hakua mfalme,,, ukizaliwa kwenye hio familia vyupi sio shida kabisa
 
Wa tz 🇹🇿😂 wanasheherekea uhuru bandia, uhuru wa manyani.

Mdogo mdogo mutaja kundua ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…