Kabisa hawa jamaa wanaishi hovyo kabisa hawaelewani angalia jinsi princess Diana alivyofanyiwa na hii familia, halafu sasa prince Harry inebidi akimbilie Marekani. Prince Philip mme wa Elizabeth II (baba wa mfalme Charles III) alikuwa katili na mwenye dharau na ubaguzi mkubwa wa rangi. Hata malkia Elizabeth II aliishi naye kwa uvumilivu mkubwa!Huyo jamaa m'baguzi Sana. Hiyo familia ni hatari. Harry peke yake amezaliwa na roho ya utu.
Poa poa macho...Siyo watu wote wenye imani kuwa mkono wa kushoto ni wa msalani. Hii imani nadhani iko zaidi kwa waswahili.
Siyo kweliMuongo, mume wa Kairuki ni balozi Togolani mavula.
Ni kwelii.Siyo kweli
[emoji1787][emoji1787]Achana nae kaka ,suti yenyewe imemfanya aonekane kama panzi anaekuwa
Mwenye cancer ni malikia wa WalesNi mgonjwa SI ulisikia ana cancer?
Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Fuatilia ujuwe nacho kuambia.Ni kwelii.
Is it true??Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Kwanini amemzidi Mfalme urefuKulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Hizi jumuiya za kikanda ndo zinazotuletea huu uzombi tunaoupitia......Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth
Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.
Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.
Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.
Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Aseee kwaio kumbe kuishi nchini kwako nilaana naukiishi ugenini ni mbarikiwaBlessed One, Mbelwa Kairuki. Mtu kazaliwa Tanzania ila siku alizokaa Tanzania zinahesabika.Blessed One
Na koti lake kama popo bawaView attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
WTF? Wewe Fala unaongea nini? Bado tu unataka kugeuzwa mtumwa karne ya 21?Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth
Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.
Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.
Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.
Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
They fukking do wipe with their right hands.Waingereza hawajui right from left,na mnawaita intelligent ila hamna kitu.I bet they even wipe with their right hands.
Au wewe ndiyo mpumbavu. Sababu unashindwa kuweka mipaka na kufuata sheria ndogo za maisha.aliyesemaga mkono wa Kushoto sio sawa ni mpumbavu kuwahi kutokea duniani
Kwa hoja ipi hiyo?WTF? Wewe Fala unaongea nini? Bado tu unataka kugeuzwa mtumwa karne ya 21?
Mpaka hapo unapotoka mapovu ni kwamba umenisoma na kunisikiliza-soma tena ikuingie vizuriKwa pumba unazoandika unadhani nani atakuheshimu mpaka akusikilize kama unajidharau namna hiyo?
Hueleweki-Nilichokiandika ni wazi kabisa-Tuvunje Uhusiano wetu na Jumuiya hii. Itoshe, mimi ni Mwafrika kwanza na huwa siku zote nawapinga hao mashoga zako waliokutuma-I was waiting for your ass.Hivi huyo fala mweupe akikukwambia ubusu miguu yake utakataa wewe?
Who is you to ask? Do you? So fucking laughable-Humjui Syllo weweDo you have any fuking dignity and self respect?
Hayo ndio ulitaka kusema, umezunguka weee kuja kutukana watu weusi-wakati huo huo unajinasibu kuwa wewe ni mtu Mweusi-stop your "digital blackfacing"Yaani unanitaka niseme kila mtu anavyozidi mweusi na ndivyo akili inavyopungua. Fuking embarrassing. Watu wa ajabu kabisa.