Duuu, kumbe ndio hivi??Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth
Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.
Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.
Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.
Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
sasa kwani nani alikuambia nina mtoto?Au wewe ndiyo mpumbavu. Sababu unashindwa kuweka mipaka na kufuata sheria ndogo za maisha.
Let me guess, mwanao wa kiume ana boyfriend. Au naongopa? Sababu kutokana na reasoning yako, aliyesamaga wanaume hawawezi kuoana ni mpumbavu mkubwa kuwahi kutokea duniani?
Au siyo hivyo, Mrs Lastdream.
Ndo hivyo, ulipewa mashoto Ili ikae vizur unatia left hand, ukitoka kulia viga ja vitakinzanaBalozi na yeye angepokea kwa mkono huo huo dadeki
Katika hoja moja wapo ya kwanini kuna uhitaji wa kupata Katiba mpya, ni Uzee wake, yaani "Ni ya zamani na haikidhi matakwa yasasa ya Nchi-Hizi jumuiya za kikanda ndo zinazotuletea huu uzombi tunaoupitia......
jazia nyama
Kabisa hawa jamaa wanaishi hovyo kabisa hawaelewani angalia jinsi princess Diana alivyofanyiwa na hii familia, halafu sasa prince Harry inebidi akimbilie Marekani. Prince Philip mme wa Elizabeth II (baba wa mfalme Charles III) alikuwa katili na mwenye dharau na ubaguzi mkubwa wa rangi. Hata malkia Elizabeth II aliishi naye kwa uvumilivu mkubwa!
Yes, the darker the berry the sweeter the juice. Asitusumbue na shoto lake. Tukijitambau wenyewe yatoshaUncle Chucks
Mnapataga wapi Pumba hizi?. Hakuna nchi inayoizuia Tanzania tusipate katiba mpya. Ni wanasiasa wenu tu hawa wa ccm ndio wanaoizuia katiba mpya. Hakuna mtu mwingine kutoka nje anaezuia katiba mpyaAwali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth
Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.
Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.
Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.
Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!
Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Bro wtf😂😂😂😂😂😂😂😂Achana nae kaka ,suti yenyewe imemfanya aonekane kama panzi anaekuwa
Kumbe unakabidhi kwa mfalme siyo PM?View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
c ndio walisemaga mchato ali mu exile China kipindi kile ili ajipigie mema ya nchi.Duuh kumbe jamaa ndio anamiliki Ile Mali? Hongera zake.
KmmmkYaani hapo Huyo Mfalme anachukulia tu kama amesimama na Sokwe
View attachment 2941435
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
Ndugu yangu.Katika hoja moja wapo ya kwanini kuna uhitaji wa kupata Katiba mpya, ni Uzee wake, yaani "Ni ya zamani na haikidhi matakwa yasasa ya Nchi-
Kwanini isiwe kwa Jumuya ya Madola?
Kwani kikubwa zaidi ndani ya Jumuiya hii ni kupata sauti na Ushwaishi wa "Wazungu" kwenye majukwaa ya Kimataifa- Walakin
Tunalimwa kila siku, kwenye mahakama za Kimataifa za Usuluhishi wa kibiashara-na wote hawa ni wale Wazungu walio kuwa ndani ya himaya za Jumuiya hii ya madola, mfano Australia na Canada.
Ukifuatilia kwa undani hawa wapo chini ya Himaya za Ufalme wa Uingereza, na mfalme wake ni Mkuu wa Jumuiya hii- sasa huo ushawishi na kutongezea nguvu na sauti huko tupate haki zetu sawa ni vipi?
Uwepo wetu ndani ya Jumuiya hii unatusaidia nini iwapo wanaotunyonga ni hawa hawa tunaowapa ridhaa zetu?
AKA KONO LA MAFFIKono la msarani..!