kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Habari,
Kuna jamaa yangu kaja kutafuta maisha hapa mjini, sasa aliniomba afikie kwangu kwa muda anajipanga, nami nikaona sio mbaya sababu maisha ya town ni kubebana tu hata mimi nilivyoingia mjini nilibebwa na jamaa yangu mwingine.
Kero ya huyu jamaa yangu sio mstaarabu yani, kwanza analala mpaka saa 4 na akiamka hata kutandika kitanda hakuna. Hapiki mchana na vitu viko kwenye fridge, anashinda anakunywa k vant tu. Alichonishangaza leo kaniambia eti k vant na valuer anahisi hazimleweshi hivyo anataka pombe kali zaidi.
Nimemtafakari huyu mtu nikajisemea huyu kaja mjini kutafuta maisha au kulewa?
Nafikiria kumuambia arudi kwanza mkoani akajipange upya.