Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Kuna mshkaji wangu mmoja tulikua tunaishi majiran tumekuwa wote na tumesoma wote, sasa pale kwao kulikua kuna wana wamepanga chumba wanakaa watatu wanafanya biashara za kuchoma sambusa wanazipeleka Town.

Sasa wale washkaji walikua ni ndugu walikutana na jamaa mmoja kabila lao wakamsaidia wakampa mchongo wao wakawa wanaish kama ndugu japo yule mkubwa wao alikua na mke kapanga sehem nyngine... alikua tu anakuja kutengeneza mazaga wanapeleka Town.

tulikua tumewazoea sana kama mabrother kuna kipind walikua wanaondoka wanaacha kile chumba tunalala sisi kama kuwalindia tu.. sasa yule msela waliomsaidiaga alikua na tabia fulan za kipimbi , yule pimbi muda wa kulala ana lala uchi anavua kila kitu mpka boxer alafu anajifunika shuka huwezi jua kama yupo uchi!! sijui boxer alikua anavua muda gn? kuna siku tulilalaga watatu na huyo fala, jamaa yangu alilala katikati sasa ile usku anajinyoosha bahati mbaya akamshika tako yule pimbi, .msela wangu akaniamsha oya huyu fala kalala uchi.. tukamuasha oya mbona unalala uchi et mimi ndo nalalaga hivi kuanzia siku hiyo sikulalaga mule tena
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uliogopa fito nini halafu mwanaume unalala vipi uchi mjini.
 
Back
Top Bottom