cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhari aisee, maana dah!!!,Sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhari aisee, maana dah!!!,Sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]mkuu ,alikua "anakufataje"
mimi kuna lijamaa lilikuja limelewa tukalala nalo basi linakoroma na kujamba sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu akikaa kwako sio awe mtumwa,tena ni mtu mzima huyo,ni shida tu ndo zimemfanya afikie kwako ,naamin akifanikiwa atakupisha,sasa sio ndo uanze kumpangia had vitu vya kunywa kisa Yuko kwako,suala la usafi na mpangilio wa nyumba yako ilo unaweza kumuweka sawa ,lakin sio personal life yake ,hell no,hiyo naikataa kabisa,huyo mtu atakua ana mambo meng kichwan yanamnyima raha hivyo pombe ndo tulizo lake apate usingiz,uende ukija huwa unamuangalia jicho baya ivyo anajidunga mi kvant ukija ukute kalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta demu kama hujaoa weka ndani ataondoka mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni wewe ndugu yangu.
Badala ya kuja kulia lia mtandaoni ungempa msimamo kwanza kisha utuambie hapa umempandisha basi la saa ngapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni bora niishi peke yangu nilishakubali kubeba lawama.
Umewahi kuishi na jamaa ambaye suala la usafi yeye halimhusu!? Kuanzia yeye mwenyewe anapolala, kuoga, kupiga mswaki, kufua, vyombo vinavyotumika hata ndani kwa ujumla! Hii ni zaidi ya adhabu.
Kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta mke, atakutandikia kitanda. Atakupikia vizuri.
Hutapata wageni wa aina hiyo kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimae kausoma uzi na kaja kukujibu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho mbaya sana mwana duh[emoji23]Mnalala kitanda kimoja? Mkuu fukuza huyo mtu. Mimi kuna kijana mmoja aliomba aje afikie kwangu sijui kaitwa aje kufanya interview nikamkaribisha nikaona mwezi wa 1 unakatika bila ya umeme ikapanda na units za Dawasa zikawa juu. Hana msaada afyeki nje wala kusafisha nyumba. Nikamuita siku moja nikamwambia umekuja kutafuta kazi ama kufanyakazi. Kesho naomba uondoke. Sipendi ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mshkaji wangu mmoja tulikua tunaishi majiran tumekuwa wote na tumesoma wote, sasa pale kwao kulikua kuna wana wamepanga chumba wanakaa watatu wanafanya biashara za kuchoma sambusa wanazipeleka Town.
Sasa wale washkaji walikua ni ndugu walikutana na jamaa mmoja kabila lao wakamsaidia wakampa mchongo wao wakawa wanaish kama ndugu japo yule mkubwa wao alikua na mke kapanga sehem nyngine... alikua tu anakuja kutengeneza mazaga wanapeleka Town.
tulikua tumewazoea sana kama mabrother kuna kipind walikua wanaondoka wanaacha kile chumba tunalala sisi kama kuwalindia tu.. sasa yule msela waliomsaidiaga alikua na tabia fulan za kipimbi , yule pimbi muda wa kulala ana lala uchi anavua kila kitu mpka boxer alafu anajifunika shuka huwezi jua kama yupo uchi!! sijui boxer alikua anavua muda gn? kuna siku tulilalaga watatu na huyo fala, jamaa yangu alilala katikati sasa ile usku anajinyoosha bahati mbaya akamshika tako yule pimbi, .msela wangu akaniamsha oya huyu fala kalala uchi.. tukamuasha oya mbona unalala uchi et mimi ndo nalalaga hivi kuanzia siku hiyo sikulalaga mule tena
Siameachiwa kazi ya kupika nae hapiki?Mtafutie kazi awe bize
Mkuu isijekuwa ni lile li toto la dadangu nililolimwaga huku kwangu? Nasikia limekimbilia Dar eti kwenda kutafuta maisha lakini lilevi kupindukia! Kwani lenyewe lina ujuzi gani wa kuleta mjini?Habari,
Kuna jamaa yangu kaja kutafuta maisha hapa mjini, sasa aliniomba afikie kwangu kwa muda anajipanga, nami nikaona sio mbaya sababu maisha ya town ni kubebana tu hata mimi nilivyoingia mjini nilibebwa na jamaa yangu mwingine.
Kero ya huyu jamaa yangu sio mstaarabu yani, kwanza analala mpaka saa 4 na akiamka hata kutandika kitanda hakuna. Hapiki mchana na vitu viko kwenye fridge, anashinda anakunywa k vant tu. Alichonishangaza leo kaniambia eti k vant na valuer anahisi hazimleweshi hivyo anataka pombe kali zaidi.
Nimemtafakari huyu mtu nikajisemea huyu kaja mjini kutafuta maisha au kulewa?
Nafikiria kumuambia arudi kwanza mkoani akajipange upya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bwana, nyie mkija mikoani mnatuletea mikate miwili au mikono mitupu, si tunawapokea kwa bashasha, migimbi, ng'uruka, tunawafungashia na n.k, nyie kidogo nyuz kibao jf, mkija kuripoti kazi tunawapokea fresh tu, Ila nyie kulalama hamjambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi lol.Kuna mshkaji wangu mmoja tulikua tunaishi majiran tumekuwa wote na tumesoma wote, sasa pale kwao kulikua kuna wana wamepanga chumba wanakaa watatu wanafanya biashara za kuchoma sambusa wanazipeleka Town.
Sasa wale washkaji walikua ni ndugu walikutana na jamaa mmoja kabila lao wakamsaidia wakampa mchongo wao wakawa wanaish kama ndugu japo yule mkubwa wao alikua na mke kapanga sehem nyngine... alikua tu anakuja kutengeneza mazaga wanapeleka Town.
tulikua tumewazoea sana kama mabrother kuna kipind walikua wanaondoka wanaacha kile chumba tunalala sisi kama kuwalindia tu.. sasa yule msela waliomsaidiaga alikua na tabia fulan za kipimbi , yule pimbi muda wa kulala ana lala uchi anavua kila kitu mpka boxer alafu anajifunika shuka huwezi jua kama yupo uchi!! sijui boxer alikua anavua muda gn? kuna siku tulilalaga watatu na huyo fala, jamaa yangu alilala katikati sasa ile usku anajinyoosha bahati mbaya akamshika tako yule pimbi, .msela wangu akaniamsha oya huyu fala kalala uchi.. tukamuasha oya mbona unalala uchi et mimi ndo nalalaga hivi kuanzia siku hiyo sikulalaga mule tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siameachiwa kazi ya kupika nae hapiki?
Kazi gani ataifanya akiwa amelewa?
Bora aisee kuliko kukaa na mtu hana msaada kuna siku alinikera sana nimekaa zangu naangalia BBC habari akaja akabadilisha channel bila kuuliza naangalia nini.Una roho mbaya sana mwana duh[emoji23]