Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Pole sana Mkuu, wakati anakufuata kwenye pembe yako kitandani hakuwahi kukudindishia kweli??.Ila Kuna washikaji hawaja wahi kuwa na akili Kuna huyo mmoja alikua mchafu hatari alikua akivua viatu utafurahia hiyo harufu, jamaa amekuja Hana hata taulo eti anataka tushee taulo hapo ndio nilimchoka kwa Kasi ya 6g.... Na siku alio nimaliza kabisa Kuna viatu ni vya mtoko niliganyagia kwa sabubu marapa ya kushindia palee nyumbani alikua kayavaa yeye....Basi jamaa akaona Basi siku narudi kutoka job namkuta mwana katoka kuzurula kavikanyagia vile vile [emoji33][emoji33] Kama umewahi sikia zile hasira za kuvimba shingo ndio zilinipata aisee....yule jamaa alikaa wiki ila niliona mwaka ...kifupi tangia utotoni sijawahi Shea kitanda na mwanaume mwenzangu Hadi ukubwani lkn mwana ndio alikua wa kwanza kulala nae maishani mwangu alafu utakuta mtu umejitenga kwenye ncha ya kitanda 5*6 yaani umemuachia yeye lkn anakufata Hadi ulipo lala wewe[emoji38][emoji38][emoji38] ile wiki nikiteseka Sana
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app