kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
- Thread starter
- #61
Alivyokuja alikuta k vant nusu chupa akagida yote,jana nikasema ngoja nikachukue tena chupa kubwa tuje tupige na jamaa ikakata,nikaona kaenda shop kaja na double kick,leo nimemkuta yuko na chupa ya k vant anapiga taratibu tu.Hizo pombe alizikuta humo ndani au kaja nazo?