Nimeomba simu kwa jamaa hapa anauza ubuyuNakumbuka simu uliiacha nyumbanj.Sasa umepata wapi simu na namba yangu?Kichwa chako kina cc kubwa kama pikipiki aina ya "enduro" au "kawasaki"!
Nilijua watu wa Nyamanoro hamjui kudukua mawasiliano kumbe nilijidanganya.Nimeomba simu kwa jamaa hapa anauza ubuyu
Kama kweli utakuwa muhuni fulani hivi.Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Ni ushamba kuhisi kila mtu mwizi nikijieleza kwake............nina Bro mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mwalimu Sumbawanga huko, Elimu na kila mpaka chuo kasoma hukohuko Mbeya,sasa akaja DSM kwaajili ya kusoma Masters Duce,daah ndiyo mara ya kwanza kufika DSM ila anajifanya mjuaji eti pale napajua nilipaona kwenye TV ππ,nilimpeleka Duce nikamtelwkeza huko,kurudi nyumbani sasa ikawa mtihani kwake haelewi aelekee wapi,alilala kwenye vibweta pale Duce na walinzi.ππUnapoteaje mchana, tena sehemu ambayo watu wote wanaongea lugha yako?
Hii sio poa kabisa.Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Kwamba alipaona kwenye TVπNi ushamba kuhisi kila mtu mwizi nikijieleza kwake............nina Bro mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mwalimu Sumbawanga huko, Elimu na kila mpaka chuo kasoma hukohuko Mbeya,sasa akaja DSM kwaajili ya kusoma Masters Duce,daah ndiyo mara ya kwanza kufika DSM ila anajifanya mjuaji eti pale napajua nilipaona kwenye TV ππ,nilimpeleka Duce nikamtelwkeza huko,kurudi nyumbani sasa ikawa mtihani kwake haelewi aelekee wapi,alilala kwenye vibweta pale Duce na walinzi.ππ
Hahaha eti kwenye TV.Ni ushamba kuhisi kila mtu mwizi nikijieleza kwake............nina Bro mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mwalimu Sumbawanga huko, Elimu na kila mpaka chuo kasoma hukohuko Mbeya,sasa akaja DSM kwaajili ya kusoma Masters Duce,daah ndiyo mara ya kwanza kufika DSM ila anajifanya mjuaji eti pale napajua nilipaona kwenye TV ππ,nilimpeleka Duce nikamtelwkeza huko,kurudi nyumbani sasa ikawa mtihani kwake haelewi aelekee wapi,alilala kwenye vibweta pale Duce na walinzi.ππ
Tena Kinshasa ni nzuri kuliko DsmAlitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
π€£π€£π€£π€£π€£Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Acheni uswetaniNgoja alijue jiji
Ukiwa mgeni sehemu kupotea ni kitu cha kawaida hata kama umetoka kwenye jiji kubwa unaweza potea kwenyemji mdogo tu ndo maana wazungu wanatoka New York jiji kubwa kabisa duniani au Beijing wanakuja kupotea dar so ugenini kupotea ni kawaida ndo maana mm huwa nauliza sana nikiwa ugenini!.Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Una uhakika angalia hiiTena Kinshasa ni nzuri kuliko Dsm