Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N kwel mkuu, mpaka sasa bado jamaa hajafika kunichukuaWe Mbaga Jr we we.A cha kumzingua jamaa
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
At least ataenda kupanda basi Mbezi na kurudi alikotokaFaida kwake,atalijua jiji kirahisi
Watu wa Dar hamkawii. Usijekuwa umemtoa kafara. Akiokotwa ufukweni mwa bahari kwenye mfuko wa rambo ndo utajua hujui...Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Huyo jamaa yako ni MSHAMBA kweri kweri!Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Hii njia ya nalamba mawili vituo vyote vinafanana fanana kuja kujua unashukua wapi uwe na kichwa kweli
Kwa hiyo kupotea mji ndo ishara ya ukubwa wa mji ?Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Sasa naendaje mkuu?Nenda ofisi za ITV watatoa tangazo jioni kuwa umepotea ntakuja kukuchukulia hapo
Hapazoeleki kirahisi hata jwa waliozaliwa Dar wengine panawachengaSijawai kupazoea kariakoo hata siku 1. Nikiwa na mishe huko. Hua nosolve ujinga wangu na wauza machungwa tu.
Yaani nanunua chungwa la 200, huku naendelea kula huku naulizia lamani, mpaka naodoka hapo nishanunua machungwa sio chini ya 5
Aah Mimi bench mark yangu ni lile jengo la Nssf ilala pale...nkishaliona tu imeishaKariakoo usipachukulie powa,huenda kwa vile umepazoea ila panatia wenge sana kwa mgeni