Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Ukiwa mgeni sehemu kupotea ni kitu cha kawaida hata kama umetoka kwenye jiji kubwa unaweza potea kwenyemji mdogo tu ndo maana wazungu wanatoka New York jiji kubwa kabisa duniani au Beijing wanakuja kupotea dar so ugenini kupotea ni kawaida ndo maana mm huwa nauliza sana nikiwa ugenini!.
Hata mimi huwa sioni aibu kuuliza
Wazungu huwa wanakuja na ramani,tatizo miji yetu sasa mipango miji hakuna ramani inaweza kukuyumbisha
 
astuce-noeud-de-chaise2.gif
kamba
 
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.

Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.

Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.

Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.

Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Aseeee WWE ni muuaji
 
Back
Top Bottom