Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huo ni ulozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi huwa sioni aibu kuulizaUkiwa mgeni sehemu kupotea ni kitu cha kawaida hata kama umetoka kwenye jiji kubwa unaweza potea kwenyemji mdogo tu ndo maana wazungu wanatoka New York jiji kubwa kabisa duniani au Beijing wanakuja kupotea dar so ugenini kupotea ni kawaida ndo maana mm huwa nauliza sana nikiwa ugenini!.
Acha mihemko, angalia kwanzaPropaganda za wazungu hizo,leo wakishoot tandale,manzese na vingunguti kuna watu watadhani Dar nzima iko hivyo
Nlipata mawaza sana namna ya kumpata jamaa, ila nilivoona h mada nkashkuru MunguNilijua watu wa Nyamanoro hamjui kudukua mawasiliano kumbe nilijidanganya.
Aseeee WWE ni muuajiAlitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.
Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Kupotea porini ni rahisi sana manake hakuna wa kumuuliza direction. Sasa mjini unapoteaje?Kawaida sana,kana watu wanapotea maporini sembuse mjini
kweli,kuna muda inategemea na umetembea mikoa mingapi au nchi ngapi ukiwa mzoefu wa kutembea huwezi potea kirahisiKawaida sana,kana watu wanapotea maporini sembuse mjini
ukiuliza unakokwenda huwezi poteaKupotea porini ni rahisi sana manake hakuna wa kumuuliza direction. Sasa mjini unapoteaje?
We Mbaga Jr we we.A cha kumzingua jamaaMkuu, njoo nichukue plz nmekoma 😔 niko eneo wanapaita Kariakoo - shimoni nimelala