Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.

Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.

Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.

Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.

Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Kama kweli utakuwa muhuni fulani hivi.
 
Unapoteaje mchana, tena sehemu ambayo watu wote wanaongea lugha yako?
Ni ushamba kuhisi kila mtu mwizi nikijieleza kwake............nina Bro mmoja mtoto wa mama mkubwa ni mwalimu Sumbawanga huko, Elimu na kila mpaka chuo kasoma hukohuko Mbeya,sasa akaja DSM kwaajili ya kusoma Masters Duce,daah ndiyo mara ya kwanza kufika DSM ila anajifanya mjuaji eti pale napajua nilipaona kwenye TV 😂😂,nilimpeleka Duce nikamtelwkeza huko,kurudi nyumbani sasa ikawa mtihani kwake haelewi aelekee wapi,alilala kwenye vibweta pale Duce na walinzi.😂😂
 
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.
Hii sio poa kabisa.
 
Kwamba alipaona kwenye TV😄
 
Hahaha eti kwenye TV.
 
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.

Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.

Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia aache na simu nyumbani, nilimzungusha kuanzia Mlimani city, Mbezi, Posta saa tisa tulikuwa Kariakoo, nikamchenga nikarudi nyumbani. Mpaka muda huu hajarudi nyumbani bado najua amepotea.

Mnavyosikia kuna vita kule Congo DRC msije mkaidharau miji yao, lile jiji la Kinshansa ni kama hii Dar es Salaam yetu mara tatu au mara nne, in terms of population and size.

Niliwahi kupotea Kinshasa mara nyingi tu sasa nimelipiza kwa Congo ya Dar.
Tena Kinshasa ni nzuri kuliko Dsm
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwa mgeni sehemu kupotea ni kitu cha kawaida hata kama umetoka kwenye jiji kubwa unaweza potea kwenyemji mdogo tu ndo maana wazungu wanatoka New York jiji kubwa kabisa duniani au Beijing wanakuja kupotea dar so ugenini kupotea ni kawaida ndo maana mm huwa nauliza sana nikiwa ugenini!.
 
Back
Top Bottom