Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Hata mimi huwa sioni aibu kuuliza
Wazungu huwa wanakuja na ramani,tatizo miji yetu sasa mipango miji hakuna ramani inaweza kukuyumbisha
 
Tanzania mji ni Dar es Salaam Tu kwa mbaaali, Maana miji na Majiji ya Tanzania hayana hadhi ya
kuitwa majiji, ni mkusanyiko wa magari na majumba tu hakuna mpangilio, na ma Kelele juu!


Britanicca
 
Aseeee WWE ni muuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…