Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Amepotea yes. Hasara ya nani?
 
Watu wa Dar hamkawii. Usijekuwa umemtoa kafara. Akiokotwa ufukweni mwa bahari kwenye mfuko wa rambo ndo utajua hujui...
 
Watu wa Dar hamkawii. Usijekuwa umemtoa kafara. Akiokotwa ufukweni mwa bahari kwenye mfuko wa rambo ndo utajua hujui...
Dah umenitisha ujue,mpaka sasa hajafika
 
Huyo jamaa yako ni MSHAMBA kweri kweri!
 
Kwa hiyo kupotea mji ndo ishara ya ukubwa wa mji ?
 
Mzaha mzaha tu na utani ghafla unapokea mwili wake kwenye kiroba au kachomwa moto kwa kuhisiwa kibaka
 
Sijawai kupazoea kariakoo hata siku 1. Nikiwa na mishe huko. Hua nosolve ujinga wangu na wauza machungwa tu.

Yaani nanunua chungwa la 200, huku naendelea kula huku naulizia lamani, mpaka naodoka hapo nishanunua machungwa sio chini ya 5
 
Hapazoeleki kirahisi hata jwa waliozaliwa Dar wengine panawachenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…