mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jul 30, 2024 Thread starter #81 Dadykiller said: Aah Mimi bench mark yangu ni lile jengo la Nssf ilala pale...nkishaliona tu imeisha Click to expand... Siku utajikuta mnazi mmoja
Dadykiller said: Aah Mimi bench mark yangu ni lile jengo la Nssf ilala pale...nkishaliona tu imeisha Click to expand... Siku utajikuta mnazi mmoja
D Dadykiller Senior Member Joined Apr 24, 2024 Posts 198 Reaction score 347 Jul 30, 2024 #82 britanicca said: Tanzania mji ni Dar es Salaam Tu kwa mbaaali, Maana miji na Majiji ya Tanzania hayana hadhi ya kuitwa majiji, ni mkusanyiko wa magari na majumba tu hakuna mpangilio, na ma Kelele juu! Britanicca Click to expand... Nenda kule jukwaa pendwa...unasubiriwa ukamalizie ile issue..huku acha vijana barobaro wa mjini
britanicca said: Tanzania mji ni Dar es Salaam Tu kwa mbaaali, Maana miji na Majiji ya Tanzania hayana hadhi ya kuitwa majiji, ni mkusanyiko wa magari na majumba tu hakuna mpangilio, na ma Kelele juu! Britanicca Click to expand... Nenda kule jukwaa pendwa...unasubiriwa ukamalizie ile issue..huku acha vijana barobaro wa mjini