Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

Tanzania mji ni Dar es Salaam Tu kwa mbaaali, Maana miji na Majiji ya Tanzania hayana hadhi ya
kuitwa majiji, ni mkusanyiko wa magari na majumba tu hakuna mpangilio, na ma Kelele juu!

Britanicca
Nenda kule jukwaa pendwa...unasubiriwa ukamalizie ile issue..huku acha vijana barobaro wa mjini
 
Back
Top Bottom