Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne!!
Kwanini anaiwahi hii kauli?!!!! Au tayari ameshachepuka nini na hapa ni jitihada za kuniandaa kisaikolojia?!!!! Maoni yenu wadau!
Kwanini anaiwahi hii kauli?!!!! Au tayari ameshachepuka nini na hapa ni jitihada za kuniandaa kisaikolojia?!!!! Maoni yenu wadau!