Huo Ni mwamvuli wa kujifichia kwa wanawake wengiKila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia.
Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne!!
Kwanini anaiwahi hii kauli?!!!! Au tayari ameshachepuka nini na hapa ni jitihada za kuniandaa kisaikolojia?!!!! Maoni yenu wadau!
Hii mbinu acha niiweke kwenye notebook😂😂 labda itanifaa siku ya mahitajiKwa Sasa usihangaike kujua kama amechepuka au lah.
Wee naye uwe unachomekea 'Yaan Mimi Toka zamani niliapa kabisa ,mwanamke nitakayeoa, siku nikithinibitisha ananisaliti au watu wakanipenyezeaa, nikachuza mwenyewe taratibuuuu nikajua ukweli, nitakachomfanya itakua ni habari Dunia nzima na majonzi kwao"!!
Wewe uwe unamtaniaaa hiyo , Hawa Wanawake ni waoga , unajua waoga??? Ni waoga sanaaaa?...ukimkazia kidogoo ,utasikia, Nisamehee Mume wangu
Nitawapa Stori ya Jamaa yangu majunzi hapa ,mcheke🤣🤣🤣