Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Huyu mke nafaa kuoa kweli?

EEH MUNGU BABA NIEPUSHE NA WANAUME WASIOJITAMBUA NA HAWANA AKILI.
Wanawake watakaolewa ni wachache sana, ila watakaobeba msalaba wa majukumu ya kulea family ni wengi sana. Kama mwanamke anaingia ktk ndoa kwa kutaka kushindana atapata tabu sana, maana ukimkimbia anabaki na family na majukumu lukuki lazima anyoooke

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mueleweni mleta mada, amesema mwanamke amechepuka within time frame ya 10 years waliokuwa kwenye mahusiano na sio kabla hawajawa kwa mahusiano.
 
Shida uvulana unakusumbua..kwanza umeshatembea na rafiki yake kuonesha ulivyomshenzi lakini hutoi boriti jichoni mwako Ila unatoa kwa mkeo..

NB:Siku ukiacha uvulana na kua Mwanaume utajilaumu Sana kwa upuuzi uliofanya.
 
Msamehe ila tatizo ni kwamba kati ya hao wote kuna mmoja alishampandisha mpaka kileleni Kilimanjaro. Kuna siku atamuomba ampandishe tena kileleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini, kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi. Tuna watoto watatu.

Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi, kama zali tu. Tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nao.

Mimi nikafanya kama simind hivi, ili aendelee kushusha maelezo nikamezea nikakatisha story. Tukaendelea na story zingine. Hapo hapo nikachomekea na mimi nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii kula tunda kimasihara)

Nilivyorudi home nikamkalisha wife chini, nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali. Nikamwambia kama unataka nikusamehe, niambie watu wote ambao umeshatembea nao, duuu alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu, wengine wanaishi mtaani kabisa ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma.

Haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyopita lakini na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini

Nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume, namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao na ukimwona ni kapole kweli kabila ni machame.

Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae na kurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini.

Kwa mimi nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kkla mtu aendelee na hamsini zake nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu.

Nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka watu wote hao sikujuaga hata mmoja?

Naombeni ushauri wakuu.
Ww akil zako zikaombewe..... Umemzalisha watoto watatu, umemchujisha, umetembea na rfk ake na bado utaendelea tu kutembea nae, mmepita milima na mabonde kote huko ujawa kutushirikisha..... Leo hii usimuoe kisa katembea sijui na nani... kumbe hua inawauma ehh..... em kamwambie kua ulilala na rfk ake na wengine wengi alfu jibu atalokupa lilete huku
 
kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?
kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?
wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Kumbuka ndani ya Miaka Hyo ya kukaa pamoja Bado ametembea na watu wengine...
 
kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?
kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?
wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Kumbuka ndani ya Miaka Hyo ya kukaa pamoja Bado ametembea na watu wengine...
 
Back
Top Bottom