Huyu Mke sasa ananishinda, nimepoteza hisia kwake kwa kiwango Kikubwa sana

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana.

Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu.

Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula. Au anaweza kata matunda akaweka mezani na akaanza kudokoa kula akienda huku na kule.

Ni mtu ambaye ukinunua kitu ukaleta mtumie wote anaona hicho si chake mpaka umnunulie chake na usije ukagusa au kutumia.

Unanunua kitu anachukua anafungia kwenye kabati lake. Then unapokuja nunua kingine ndo mnatumia hiki cha pili. Kile cha kwanza anaficha kwanza.

Akijinunulia kitu ataficha kabatini mwake au kwenye sanduku. Hapendi wageni, hapendi kuwahudumia wageni. Wakija wageni anaenda kaa nje au chumbani. Ananiachia mimi. Labda waje ndugu zake. Hapo ndo atakaa nao sana sebuleni.

Ni mtu ambaye anaamini chake chake chako chenu. Ananikatisha tamaa sana kwa uchoyo. Mara nyingi atasema "mimi" "changu" n.k.

Anapenda sana attention na mashindano na watu wengine. Akisifiwa ndo hufurahi ila usimkosoe hapo mtakuwa maadui sana.

Haya mambo yananikwaza najikuta naishiwa hamu naye kabisa.. hajui kuhusu kesho wala bajeti. Anatumia vitu hovyo na pesa ukimwachia atanunua hata vilivyopo ili mradi kakaribishwa na muuzaji aliitwa boss. Bei hapendi ku bargain. Anatoa tu pesa ambazo umempa.

Ukimpa pesa tsh 50,000 akafanye shopping ya veggies. Atakuja amenunua vitu vya kutumia kwa siku 3 au 4. Badala ya vitu vya week. Hapo mchele, mafuta sukari vipo. Ni vitu vya mboga mboga na viungo ukiacha spices.

Kiukweli ananipa wakati mgumu sana. Hasa kwenye uchoyo na ubinafsi. Mnaponunua kitu mtumie wote ndani mtakuta anatumia peke yake na hapo anaweza mnyima dada wa kazi au akampa kidogo. Ana tabia ya kumtenga msichana wa kazi.

Hili suala linanifanya hata nikose hamu ya kuwa naye. Maana namwona hana utu. Mchoyo na mbinafsi. Hana huruma wala upendo kwa watu baki. Ambao anajua hawana msaada kwake au hawatamsifia.

Natamani awe na roho ya Upendo na Kujali watu wengine. Awe na huruma kwa watu. Hayupo hivyo. Najaribu sana kumfundisha awe na huruma au upendo. Hata kwa watoto wengine. Hayupo hivyo. Ni mbinafsi anajali yake tu na vitu vyake.

Wanawake anaweza kuwa mzuri kwa sura na umbo ila ana roho mbaya.
 
Mwanetu unalalamika sana.
Huyo mgeuze mke house girl yaan kila kitu kinachogusu familia fanya wewe yeye mwachie jiko, usafi na watoto wake.
Housegirl mwondoe nawe kua busy na mishe zako rudi om kuichapa,kula ,kulala na kuonana na watoto tu.
Yeye achana nae kabisa ikibid ungea nae kwenye mishe za msingi tu.
 
Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana.

Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu.

Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula. Au anaweza kata matunda akaweka mezani na akaanza kudokoa kula akienda huku na kule.

Ni mtu ambaye ukinunua kitu ukaleta mtumie wote anaona hicho si chake mpaka umnunulie chake na usije ukagusa au kutumia.

Unanunua kitu anachukua anafungia kwenye kabati lake. Then unapokuja nunua kingine ndo mnatumia hiki cha pili. Kile cha kwanza anaficha kwanza.

Akijinunulia kitu ataficha kabatini mwake au kwenye sanduku. Hapendi wageni, hapendi kuwahudumia wageni. Wakija wageni anaenda kaa nje au chumbani. Ananiachia mimi. Labda waje ndugu zake. Hapo ndo atakaa nao sana sebuleni.

Ni mtu ambaye anaamini chake chake chako chenu. Ananikatisha tamaa sana kwa uchoyo. Mara nyingi atasema "mimi" "changu" n.k.

Anapenda sana attention na mashindano na watu wengine. Akisifiwa ndo hufurahi ila usimkosoe hapo mtakuwa maadui sana.

Haya mambo yananikwaza najikuta naishiwa hamu naye kabisa.. hajui kuhusu kesho wala bajeti. Anatumia vitu hovyo na pesa ukimwachia atanunua hata vilivyopo ili mradi kakaribishwa na muuzaji aliitwa boss. Bei hapendi ku bargain. Anatoa tu pesa ambazo umempa.

Ukimpa pesa tsh 50,000 akafanye shopping ya veggies. Atakuja amenunua vitu vya kutumia kwa siku 3 au 4. Badala ya vitu vya week. Hapo mchele, mafuta sukari vipo. Ni vitu vya mboga mboga na viungo ukiacha spices.

Kiukweli ananipa wakati mgumu sana. Hasa kwenye uchoyo na ubinafsi. Mnaponunua kitu mtumie wote ndani mtakuta anatumia peke yake na hapo anaweza mnyima dada wa kazi au akampa kidogo. Ana tabia ya kumtenga msichana wa kazi.

Hili suala linanifanya hata nikose hamu ya kuwa naye. Maana namwona hana utu. Mchoyo na mbinafsi. Hana huruma wala upendo kwa watu baki. Ambao anajua hawana msaada kwake au hawatamsifia.

Natamani awe na roho ya Upendo na Kujali watu wengine. Awe na huruma kwa watu. Hayupo hivyo. Najaribu sana kumfundisha awe na huruma au upendo. Hata kwa watoto wengine. Hayupo hivyo. Ni mbinafsi anajali yake tu na vitu vyake.

Wanawake anaweza kuwa mzuri kwa sura na umbo ila ana roho mbaya.
Pole sana mkuu.
Ameanza hivi karibuni au alikuwa hivyo wakati unamchumbia ila ukakausha?
 
Pole sana mkuu kwa kuangalia matako.

Sasa tafuta wife material uoe

Maelezo yako yanaonyesha huyu mwanamke alishushwa moja kwa moja kwako na kuingia naye kwenye ndoa, bila kuwa na muda wowote wa kumfahamu kabla ya kufanya maamuzi ya kumuoa.
 
Back
Top Bottom