Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Tafuta mchepuko
Kweli. Mwana mlalamishi sana. Badala amchape makofi kumnyoosha yeye analalama tuVipi kuhusu mbunye? Anayo nene tamu ya moto na anakupa freely au nayo anaifungia kabatini?
Ila una kipaji cha kulalamika mwanangu maana dah. Si ajabu hata yeye alishakuchoka na anafanya makusudi ili muachane!
wew hauwajui hawa watu, kabla haujamuweka ndani, ni waigizaj wazuri, unaweza kusema bonge la mke kumbe ni bonge la mateso!Mpandishe cheo haraka sana ......
Mlikutana Bar au club uck ukaenda kumlala na kutangaza ndoa ?
Tatizo ni moja tu mkuu uchumba miezi mitatu tu then ndoa hapo ataigiza ila at least ingekuwa miaka miwili kuigiza ataanzia wapiwew hauwajui hawa watu, kabla haujamuweka ndani, ni waigizaj wazuri, unaweza kusema bonge la mke kumbe ni bonge la mateso!
😂😂😂😂😂Ukioa au kuolewa kamwe huwezi kukuta kila kitu kiko sawa lazima kuna mmoja atakuwa na mapungufu.
Na hayo mapungufu ndio NDOA yenyewe.
Huyooo ni chaguo lakoo🎵🎶 Huyooo ni chaguo lakoo🎶🎶
Ushauri murwa kbsaMkuu pole sana kwa changamoto hizo. Ni mambo madogo madogo kimuonekano ila ndiyo yanayoharibu ndoa nyingi. Mkeo inaonekana chimbuko lake aidha katoka familia ya baba, mama na mtoto, au familia ya survival of the fittest. Haya mambo ilibidi uyabaini mapema sana kabla hamjaingia kwenye ndia. Aidha ulipuuzia viashiria kadhaa kwa kumezwa na tamaa zako kwake, ukiamini utavumudu hivyo "vitu vidogo", kumbe leo vinakutoa roho.
Huyo ni wako, usimwache. Kadhalika usiweke attention sana kwenye mapungufu yake. Dili na shida zako na utaona matokeo.
Kadhalika kwa kitabu hiki ambacho soon kutatoka, kitatoa msaada mkubwa kwenye ndoa yako
View attachment 3481165
Inamaana hukupitia uchumbaMke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana.
Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu.
Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula. Au anaweza kata matunda akaweka mezani na akaanza kudokoa kula akienda huku na kule.
Ni mtu ambaye ukinunua kitu ukaleta mtumie wote anaona hicho si chake mpaka umnunulie chake na usije ukagusa au kutumia.
Unanunua kitu anachukua anafungia kwenye kabati lake. Then unapokuja nunua kingine ndo mnatumia hiki cha pili. Kile cha kwanza anaficha kwanza.
Akijinunulia kitu ataficha kabatini mwake au kwenye sanduku. Hapendi wageni, hapendi kuwahudumia wageni. Wakija wageni anaenda kaa nje au chumbani. Ananiachia mimi. Labda waje ndugu zake. Hapo ndo atakaa nao sana sebuleni.
Ni mtu ambaye anaamini chake chake chako chenu. Ananikatisha tamaa sana kwa uchoyo. Mara nyingi atasema "mimi" "changu" n.k.
Anapenda sana attention na mashindano na watu wengine. Akisifiwa ndo hufurahi ila usimkosoe hapo mtakuwa maadui sana.
Haya mambo yananikwaza najikuta naishiwa hamu naye kabisa.. hajui kuhusu kesho wala bajeti. Anatumia vitu hovyo na pesa ukimwachia atanunua hata vilivyopo ili mradi kakaribishwa na muuzaji aliitwa boss. Bei hapendi ku bargain. Anatoa tu pesa ambazo umempa.
Ukimpa pesa tsh 50,000 akafanye shopping ya veggies. Atakuja amenunua vitu vya kutumia kwa siku 3 au 4. Badala ya vitu vya week. Hapo mchele, mafuta sukari vipo. Ni vitu vya mboga mboga na viungo ukiacha spices.
Kiukweli ananipa wakati mgumu sana. Hasa kwenye uchoyo na ubinafsi. Mnaponunua kitu mtumie wote ndani mtakuta anatumia peke yake na hapo anaweza mnyima dada wa kazi au akampa kidogo. Ana tabia ya kumtenga msichana wa kazi.
Hili suala linanifanya hata nikose hamu ya kuwa naye. Maana namwona hana utu. Mchoyo na mbinafsi. Hana huruma wala upendo kwa watu baki. Ambao anajua hawana msaada kwake au hawatamsifia.
Natamani awe na roho ya Upendo na Kujali watu wengine. Awe na huruma kwa watu. Hayupo hivyo. Najaribu sana kumfundisha awe na huruma au upendo. Hata kwa watoto wengine. Hayupo hivyo. Ni mbinafsi anajali yake tu na vitu vyake.
Wanawake anaweza kuwa mzuri kwa sura na umbo ila ana roho mbaya.
Wapo wengi sana wa hivi kumbuka sura sio roho.Wanawake anaweza kuwa mzuri kwa sura na umbo ila ana roho mbaya.
Ukiwa rais itabidi ufikirie kuliingiza kwenye katiba hili😊Inamaana hukupitia uchumba
Ndo maana watu wanaishi na wanawake miaka kadhaa ndo wanawaoa