Huyu Mke sasa ananishinda, nimepoteza hisia kwake kwa kiwango Kikubwa sana

Nilitoa ushauri wangu ila attachment niliyoweka iligoma. Sasa hii hapa. Hope tutawasiliana. Kitabu hiki kinaweza kuwa hitaji lenu pia
 
Karibu kwangu niwe bimdogo mambo yasiwe mengi, chama Cha siasa ili kiimarike lazima pawe na chama pinzani imara
 
Sema ungetupa mfano, ukinunua nn anaficha kwenye kabati afu ukinunua kingine mnatumia wote.

Kama uchoyo unahusu vyakula duh ilo janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…