Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

Hhahaha watu mnafukua makaburi.
Sema na wew usiwe mpelelez sana
 
Akifulia anakuwa wa pinki, wakija kufulia zaidi, atakuwa wa brown alafu ndio atakuwa hawezi hata kutembea juani
 
matumizi yakipungua matokeo yake :-
! sura mirinda
! miguu pepsi

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Hiyo mbona ni midori ya kuuzia nguo k'koo?au macho yangu yamekula 'tango pori'?
 
Muonekano wa huyu mwanamama mke wa mkubwa Fella huwa unanipa mkanganyiko maana ni wa kipekee,kwa wanao mjua hebu tujuzeni ni mzungu au ni shombe shombe???

-Ndumilakuwili-

Angekua shombe angezaa watoto weusi kaa mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…