Huyu Mkurugenzi aliyegoma kununua gari la Milioni 186 na kuamua kuwanunulia watendaji pikipiki 19 atuambie Chenji amepeleka wapi?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.

Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi

Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa kununua gari la kifahari lenye thamani ya milioni 186 na badala yake ameamua kutumia fedha hizo kununua pikipiki 19 kwa watendaji wa kata.

Kama Mkurugenzi huyu alitakiwa anunue gari la Milioni 186 and instead akaamua kununua pikipiki 19 hamuoni kama kuna chenji inabaki hapo.

At maximum tu-assume pikipiki moja ni Milioni 3 maana yake kama amenunua pikipiki jumla atakuwa ametumia Tsh Milioni 57 pekee kununua pikipiki zote, je hiyo Milioni 129 iliyobaki amefanyia nini?

Chenji iko wapi? Kweli Mkurugenzi huyu anataka kutuaminisha kuwa anatembelea IST? Na hiyo hela iliyobaki atairudisha au ndo hatatueleza imeenda wapi?


Your browser is not able to display this video.
 
Unazifahamu taratibu za matumizi ya fedha za Serikali hasa za halmashauri? Nimekuuliza kwasababu swali lako ni irrelevant, irresponsible and uncouth.

Kiingereza kingi kwenye sentensi hujajibu swali hata moja. Ulishindwa kuleta hoja yako kwa lugha mama?

Au wewe ndo huyo Mkurugenzi?
 
Zahara Michuzi ni mtoto wa Jakaya ni tapeli fulani, pikipiki 19 kwa milioni 184? ni mwizi kama baba ake
 
Kiingereza kingi kwenye sentensi hujajibu swali hata moja. Ulishindwa kuleta hoja yako kwa lugha mama?

Au wewe ndo huyo Mkurugenzi?
Hapana. Mimi sio huyo Mkurugenzi ila nafanya kazi halmashauri ndio maana nikakuuliza.
 
Umeuliza ujinga mtupu. Pesa za serikali hazitumiki kama unavyofikiri. Pia hapo katamka kuwa zimetumika 67m tu.
 
Huyu si ndiye alikuwa na kashfa ya kwenda China kwa kazi binafsi kwa fuko la serikali?
 
Nchi ngumu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…