Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi
Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa kununua gari la kifahari lenye thamani ya milioni 186 na badala yake ameamua kutumia fedha hizo kununua pikipiki 19 kwa watendaji wa kata.
Kama Mkurugenzi huyu alitakiwa anunue gari la Milioni 186 and instead akaamua kununua pikipiki 19 hamuoni kama kuna chenji inabaki hapo.
At maximum tu-assume pikipiki moja ni Milioni 3 maana yake kama amenunua pikipiki jumla atakuwa ametumia Tsh Milioni 57 pekee kununua pikipiki zote, je hiyo Milioni 129 iliyobaki amefanyia nini?
Chenji iko wapi? Kweli Mkurugenzi huyu anataka kutuaminisha kuwa anatembelea IST? Na hiyo hela iliyobaki atairudisha au ndo hatatueleza imeenda wapi?