Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Mbona hapa hajaonekana?Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hapa hajaonekana?Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
Kamwachia majukumu @rarara rerereSiku hizi kapoa sana
aloooh anamimina likes aseee uyo mtu🙌🏾,,unaezaona kadude ka notifications kanasoma 40,ukicheki zote ni likes zake.Kamwachia majukumu @rarara rerere
Unaenda kufungua notifications 78 unategemea quotes za naniii unakuta min -me @rarara rerere wamekutembezea likesaloooh anamimina likes aseee uyo mtu🙌🏾,,unaezaona kadude ka notifications kanasoma 40,ukicheki zote ni likes zake.
Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
Kinyungu,