Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

@mexmelo kaka hatupendi uende jela tena kwa heshima na taadhima futa huu uzi kuna kitu kina endelea sio kizuri
 
Piskali
 
@mexmelo kaka hatupendi uende jela tena kwa heshima na taadhima futa huu uzi kuna kitu kina endelea sio kizuri
Kitu gani ambacho sio kizuri katika huu uzi? Matola ndio kawatuma kutoka juwaa la celebtrity muje huku.
 
Anuani yake ni:
'Namba 1, Magogoni Dar'.

Kuna Geti kubwa,
Utakuta Waungwana pale Getini, ukiwaeleza tu kuwa unamhitaji huyo Dada watakuitia, ila kuwa na subira hadi wakati Bi. Mkubwa akiwa Mjini.
limeisha hilo.
 
Mpendwa wangu huyo hapo kang’aa kwelikweli…
 
Kwakweli ananivutia kimwili hata Mimi Ila kikazi sijui kulikua Kuna mamambwa walimlinda Sana Mwendazake mpakaleo hayupo daaaaa kazi wanafanya wanaonekana viongozi wetu wanakuaga wagonjwa ...
 
Nipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.

Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Kuna misamiati umeitumia sidhani kama ni mizuri,"chura yake imekua standard",fikiri huyu ni mama yako anaandikwa hivi mtandaoni ungejisikiaje?
Tuwe na heshima wana if wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…