Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.

Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.



View attachment 1978940View attachment 1978958


Nyboma Mwandido
 
Mimi anaenitoa mate n huyo wa kushoto kwa mama alokuwa akimlinda toka yuko makamo,
images%20(8).jpg
 
Acha kutisha watu, serikali ina mambo mengi ya kufanya kwa wananchi wake. Yaani serikali ipoteze rasmali muda kumfuatilia mtu mtandaoni.

Na hizi tuhuma zako za watu kufuatiliwa katika mtandao unaweza kuzithibisha kwa kutolea mfano [emoji28]

Anyway pole sana kwa kifungo, ujifunze kuandika kwa ustaarabu wakati mwingine.
Wewe ni msengerema kabisa, unajuwa Maxence Melo amekubali kwenda jela Keko kwa kuwakatalia Police kuwapa details za member wa hapa JF? Unalijuwa hilo?
 
Nipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.

Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Yaani mlinzi wa Rais ana Mshahara mkubwa na posho nyingi nzuri,ndo umfanye mke wa pili? Unadhani inawezekana?. Halafu hadi amefikia umri huo unahisi wewe ndo wa kwanza kumuona na kumtamani??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yaani mlinzi wa Rais ana Mshahara mkubwa na posho nyingi nzuri,ndo umfanye mke wa pili? Unadhani inawezekana?. Halafu hadi amefikia umri huo unahisi wewe ndo wa kwanza kumuona na kumtamani??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye posho hapo pazuri sana, kwa hiyo hawa wana special treatment tofouti na hawa wengine wanaozurula hovyo huku mtaani wakijulikana kama mataga na uvccm
 
Hii post ingekuwa na madhara moderator wangekwisha ifuta, unavyoiona ipo hadi muda huu juwa hakuna kitu kibaya.

Wewe endelea na mambo yako jukwaa la celebrity kusutana vidole na dada zako huku sio saizi yako mdogo wangu.
Sasa subiri nikuonenye hujui kama hujui.
 
Back
Top Bottom