Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema achana na demu wangu, huelewi nini??!Jaribu kuwa na lugha ya staha kwa wake za watu, demu hili neno linatumika kwa wadada ambao bado hawajua vizuri kuoga. Hivyo ni vyema ukafuta kauli boss
Ana ID kumi,mwandiko mmoja😀😀Genta bana
Ngoja tutafute mbadala wa namba zake.Naomba connection
Sema nini!!!, wewe utakuwa mume wa 93 na sio wa mwisho!Nipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.
Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Unatafuta kibano wwNipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.
Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili
Umeusitukia mwandiko! Ha ha haaaa! Au umeshughulika na "IP pinging"?Genta bana
Ndiyo Ukweli WenyeweDahh.. Kweli tunatafautiana sana aisee
0713 668 668 Ila ni mke wa Deputy IGP mstaafu . So it's for ur own risk mkuuKama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.
Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.
View attachment 1978940View attachment 1978958
popo-ma katika ujinga wako wa kipopo-maKama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.
Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.
View attachment 1978940View attachment 1978958
Ndani ya lugalo base ingia501kj geti la kwanza ukitokea upande wa makongo skuli ukiivuka hiyo kambi unakutana na MPoneNipe connection mkuu, huyu mdada ndio mtu pekee ambaye amenifanya niwe nafuatilia ziara za mama, huwa ananikosha sana.
Tangu awe mlinzi wa mama chura yake imekuwa standard, ngozi imenawiri vyema ana sifa zote za kuwa mke wa pili