Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

Mkuu vipi hilo dege jipya linaloonekana hapo huna haja nalo?
 
Sifa namba 1 ya kuajiriwa katika hiyo nafasi yake ni kuwa na mume. Na isitoshe siyo tu mume ila mradi mume, sharti pia mfumo umfahamu vizuri kwa sababu ndiye pia mtu namba 1 analiyekaribu na mlinzi wa Amir Jeshi Mkuu wa JMT.
 
Mkuu kwanini usitumie hiyo connections ndani ya huu uzi?
Ni muda sana…
 
Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu.

Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la michungwa mtu yoyote ambaye ataweza nipatia mawasiliano yake, kama sio mawasiliano yake basi kunikutanisha nae tu inatosha kabisa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

NB: Mlinzi ni huyo mdada aliyesimama upande wa kulia wa mama, na kama bado hajaolewa niko tayari kumfanya mke wa pili.

View attachment 1978940View attachment 1978958
Ameolewa
 
Daaah Nyboma banaaa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom