BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
WatakuuaHivi hawa wadada mkono wanauweza?? Nataka siku nipashe nao kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WatakuuaHivi hawa wadada mkono wanauweza?? Nataka siku nipashe nao kidogo.
Eeeh mbona nawaona hawajakomaa wepesi hivi.Watakuua
🤣🤣Kwenye Mapenzi kuna changamoto zake moja wapo ni hiyo ya kuchapana makofi asiponipiga mimi nitampiga iwapo nikisikia anachepuka akiwa ziarani
Yaah ndio maana nikamuambia mkuu Maghayo asikuchanganye na huyo "buana" shabiki lialia wa SSC!Hapana mimi ni Nyboma Comrade..
🤣🤣🤣Huyu dada ni mkurya kumbe, yule bonge mweusi pia naskia ndio mkurya, tukirudi kwenye swali lako hao wakurya ndio wazuri makofi mawili mazito unapewa mbususu kwa ushirikiano wa hali ya juu.
👍Hapana mimi ni Nyboma Comrade..
Lakini chanjo ni hiali mkuu.Itatembea vipi na namba moja pasipo kuchanjwa boss, nahisi hawa walikuwa wa kwanza kabisa kuchanjwa
🤣🤣Hapana mkuu wangu niko Dodoma kijiweni kwangu Sabasaba Stendi huku komrediAah! Comrade jumbe habari za hapo lumumba 😛
Nikae mbaliNaskia ndio walivyo vitambi walivyo navyo visikudanganye naskia wako vizuri mno kwenye medani za kurusha ngumi na njugu vilevile
🤣Kama ulivyo wewe kwa CCM pia kwa Mh. Rais Mama yetu Samia suluhu Hassan