Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Hivi hii issue ipo vipi ke-ethics tena especial kwenye hizi timu pinzani katka ya YANGA,SIMBA NA AZAM

Maana HAJI MANARA ni Mfanyakazi wa SIMBA lkn ni BALOZI wa AZAM GROUP na pia ni BALOZI wa GSM GROUP vile hii imekaa sawa sawa katika ulimwengu wa soka Nauliza tu maana humu kuna GT.
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi

Unakuta jitu kama hili halijawahi toa hata mia hata kununua jezi lipo tu domo juu.
 
Shabiki anachohitaji ni furaha tu,klabu yako umewekeza nini?

Yeye analipia gharama zote za klabu kuanzia mishahara na mambo mengine,wewe umefanya nini?
Matangazo anayoweka kwenye majezi yetu yeye anatulipa nini. Simba Ni kubwa kuliko Mo, Ila watu km wewe uwezi elewa Hilo. Simba inajiuza brother, tumechoka mikataba ya kinyonyaji aisee
 
Hivi hii issue ipo vipi ke-ethics tena especial kwenye hizi timu pinzani katka ya YANGA,SIMBA NA AZAM

Maana HAJI MANARA ni Mfanyakazi wa SIMBA lkn ni BALOZI wa AZAM GROUP na pia ni BALOZI wa GSM GROUP vile hii imekaa sawa sawa katika ulimwengu wa soka Nauliza tu maana humu kuna GT.
Sasa Kama Simba hawamjali yeye afanyeje? Yaani anafanyishwa kazi bila mkataba alafu tunadanganywa clab inaendeshwa kisasa kumbe nyuma ya pazia Ni wizi mtupu.
 
Sasa Kama Simba hawamjali yeye afanyeje? Yaani anafanyishwa kazi bila mkataba alafu tunadanganywa clab inaendeshwa kisasa kumbe nyuma ya pazia Ni wizi mtupu.
Wizi gani unafanyika pale SIMBA ?
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Utopolo mnacheza ndombolo la manara..
 
Niwe mwanachama au sio au shabiki wasimba
Mimi yanga wakufakabisa kama kweli modewij nijanja janja
Abakie aendeleze huo ujanja wake mana kama taifa kimpira na ushindani wamchezo huo tumefaidi kutoka simba mengi chini ya mo dewj

Achen maneno Mpira pesa wanachama ndoninyi kukunua Boxa yandani uvae kazi hunahela
 
Hatari
20210722_114025.jpg
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi

Tapeli baba ako!!

Wewe kama shabiki wa Simba unataka nini kwenye timu?

Mafanikio ya timu ni nini?

Una hisa Simba? labda tuseme kupitia Simba ulikua unapata laki 5 kwa mwezi,ila baada ya Mo kuwepo kwasasa unapata laki 1?

Kama huna maslahi yoyote na Simba, tuliaaaa mshono ukaze

Ukiwa kama mshabiki tu,utakua taahira na mgonjwa wa mtindio wa ubongo ukisema kuwa Mo ni tapeli

Under Mo, Simba bingwa 4 times consecutively
Under Mo, Simba perform wonders CAF champion league
Under Mo, Simba platfom zinaongezeka na kuzidi kua kubwa,social medias,online tvs etc
Under Mo, mpaka mtoto wako mdogo mwenye miaka minne anaijua Simba

Unataka nini tena ?????!!!
 
Et tuachie timu yetu ,binadam sie simba imepitia magum meng mbona hamukuichukua iyo timu yenu ,ata kama asingekua mo sehem ambayo inausisha watu zaid ya wawil si rahisi kuish bila kukosana maana kuna watu wana tofautiana kimaisha kimawazo na meng mo ndio simba na simba ndio mo ni vzur hakikosea apewe mawazo mazur na akosolewe sio kumbeza mtu anaongea tu tuachie tim yetu ukiachiwa ata mchezaj mmoja kumlpa posho ukiacha mshahara hatuwez,kila mtu afanye kaz yake shabik isapot timu yako viongoz waongoze timu wanapokosea tuwarekebishe ,tukirud ktk ili suhala la haji na ceo kiukwel kabisa haji ana mazur meng na mabaya pia kama binadam anayo ila kiukwel ktk ili amekosa weled migogoro ming ya taasisi na kampun au sehem nyngne inamazwa ndan mpaka kufkia hatua ya kutoka nje bas imeshafka mwsho ata kama kwel ana tofaut na ceo wapo wakubwa zao kwann wasimalze uko haji amekosana na wangap na bila sisi wengine hatujui kwann ili alitoe nje kama ana uchungu kwel na timu mbona anataka kuleta tahaluk ktk timu ikiwa yeye ni mtu mkubwa simba maneno yake kaur zake ni kubwa mno kwa simba kwa sasa hiv ni vzur kama ameona wameshindwa kupatana angeaga kistaarabu bas sio ad kuanza kuongea na kuchafuana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwa ninavyoifahamu simba, ikiwa na migogoro huwa haiwezi kuwa stable, tofauti na yanga wakiwa na migogoro
 
Matangazo anayoweka kwenye majezi yetu yeye anatulipa nini. Simba Ni kubwa kuliko Mo, Ila watu km wewe uwezi elewa Hilo. Simba inajiuza brother, tumechoka mikataba ya kinyonyaji aisee
Kabla huyo Mo hajafika kuiendesha hiyo timu hiyo brand kubwa yenu mlifanikiwa lipi mafukara nyie?

Mlikuwa na sh. ngapi na hadi sasa mmechangia sh.ngapi kwenye mafanikio ya sasa ya Simba?

Njaa zenu pelekeni huko huko kwenye klabu zenu za uswahilini,sio Simba hii
 
Hii timu siiachii mpaka kieleweke kudadeki zako, nimewekeza bilioni 20 na kila mwaka Napata hasara ya bilioni tatu na laki moja na nusu, yule c.e.o ni mama yenu mdogo kama ikiwauma sana jinyongeni. Mimi nacheza na jezi yenu tu ntaichafua matangazo ya bidhaa zangu tupu na mkishindwa hamieni ruvu shooting huko. Eboo
 
Back
Top Bottom