Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Kabla huyo Mo hajafika kuiendesha hiyo timu hiyo brand kubwa yenu mlifanikiwa lipi mafukara nyie?

Mlikuwa na sh. ngapi na hadi sasa mmechangia sh.ngapi kwenye mafanikio ya sasa ya Simba?

Njaa zenu pelekeni huko huko kwenye klabu zenu za uswahilini,sio Simba hii
Hatutaki utapeli sisi, Kama Ana fedha akaanzishe timu yake Kama mzee bakheresa
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Mbona mmeshauza timu kitambo
 
Matangazo anayoweka kwenye majezi yetu yeye anatulipa nini. Simba Ni kubwa kuliko Mo, Ila watu km wewe uwezi elewa Hilo. Simba inajiuza brother, tumechoka mikataba ya kinyonyaji aisee
Mkuu unaongea aya ukiwa serious au ukiwa umetoka malizia kiporo cha Sikukuu?

Unasema matangazo anayoweka yy anawalipa nini?..sidhan kama uko serious lbd unatania.

Unasema simba inajiuza?..wewe ukiwa unaichangia nini had iweze kujiuza unakosema wewe...au unadhan mpr ni wa kileo ni kama kwenda kutafuta malaya wa buku 10 umalize shida zako basi.
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria,
No Dewji ni mwekezaji na sio mmiliki. Timu bado ni ya wanachama kwa 51%. Kama mwekezaji na mfanyabiashara lazima atafute faida. Wapenzi tunahitaji ushindi na anafanya hivyo. Mtindo wa zamani wa kuendesha timu umepitwa na wakati. Makosa ya muundo wa uongozi ni kosa la wanachama na viongozi. Mangungu ndiye anayepaswa kuwa Chairman of the Board!
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Mashabiki wa Yanga mmepata pa kutolea povu lenu, Umetapeliwa we kama mwanachama unachangia pesa ngapi kwa mwaka kwenye timu?
 
Ukute hapo ulipo hata milioni moja huna,halafu unataka kupimana msuli na Tajiri,wabongo tunashida sana.
 
Sasa Kama Simba hawamjali yeye afanyeje? Yaani anafanyishwa kazi bila mkataba alafu tunadanganywa clab inaendeshwa kisasa kumbe nyuma ya pazia Ni wizi mtupu.

Kwa elimu gani ya kupewa mkataba?
Usikute manara na anazidiwa elimu na bumbuli wa yanga
 
Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Akiluachia timu wewe mbuzi wa mayai una uwezo wa kulipa hata mfagiaji wa ofisi mmoja sembuse pesa za usajili mishahara na garama za uendeshaji wa timu?
 
Hatutaki utapeli sisi, Kama Ana fedha akaanzishe timu yake Kama mzee bakheresa
Na nyie kama mna uchungu kaanzisheni timu yenu sio kung'ang'ania simba huku mkiwa hamna faida yoyote kwa klabu yetu.

Tuambieni mna kipi cha ziada ili tuwapishe tuwape timu nyie mafukara msio na maana
 
Bundi kaamka Msimbazi,huu uji kupoa itachukua muda,ni kawaida kwa hizi timu mbili Simba na Yanga kuvurugana.
 
Na nyie kama mna uchungu kaanzisheni timu yenu sio kung'ang'ania simba huku mkiwa hamna faida yoyote kwa klabu yetu.

Tuambieni mna kipi cha ziada ili tuwapishe tuwape timu nyie mafukara msio na maana
Imekuchomae, na bado hiyo timu mtaiachia tu, kaanzisheni ya kwenu tuachie sisi maskini na timu yetu.
 
Mkuu unaongea aya ukiwa serious au ukiwa umetoka malizia kiporo cha Sikukuu?

Unasema matangazo anayoweka yy anawalipa nini?..sidhan kama uko serious lbd unatania.

Unasema simba inajiuza?..wewe ukiwa unaichangia nini had iweze kujiuza unakosema wewe...au unadhan mpr ni wa kileo ni kama kwenda kutafuta malaya wa buku 10 umalize shida zako basi.
Nadhani wewe ndy umetoka kula kiporo usiyeyambua nguvu ya Simba sc bila Mo. Kama Mo Ana uwezo kwa nini asianzishe club yake Kama mzee Bakheresa? Simba sc mtaji wake Ni mkubwa kuliko tuhela anayoweka Mo, Ni mipango tu na kujua jinsi ya kutumia mtaji huu. Jiulize kwa nini hakuwekeza Singida United, au Africa lion? Kwa nini Simba sc na si Club nyingine, hebu punguza kufakamia viporo mkuu vitakusababishia mtindio wa ubongo mbeleni.
 
Back
Top Bottom