Ni wizi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wizi mtupu
Ni kweli Simba Sports Club inajiuza kama unavyodai lakini hebu fikiria hili kwanzaMatangazo anayoweka kwenye majezi yetu yeye anatulipa nini. Simba Ni kubwa kuliko Mo, Ila watu km wewe uwezi elewa Hilo. Simba inajiuza brother, tumechoka mikataba ya kinyonyaji aisee
Shida nikwamba mkifukuzwa ndomnaaza kulalamikaNi wizi mtupu
Wanajidai na vipesa vyao Tena vya kutuhujumu sisi, tutawabeat kwa nguvu ya umma. Muda Ni mwalimu bro wait time is coming
Hatuwataki masikini sisi kwa kuwa hawana lolote bali wanachohitaji ni kutimiza matakwa yao ya kimasikini huku timu ikiwa haina mafanikio yoyoteImekuchomae, na bado hiyo timu mtaiachia tu, kaanzisheni ya kwenu tuachie sisi maskini na timu yetu.
umehesabu ziku zimefika ngapi?Huyo tapeli wenu siku zake zinahesabika
Hata Kama sisi Ni maskini Ila haifuti umiliki wetu kwa club hii. Na Kama Ana pesa tunamshauri akaanzishe ya kwake tuone Kama ataweza ifikisha alipoikuta Simba sc. Nakuakikishia timu yake haiwezi chukua hata ndondo cupHatuwataki masikini sisi kwa kuwa hawana lolote bali wanachohitaji ni kutimiza matakwa yao ya kimasikini huku timu ikiwa haina mafanikio yoyote
Kama wewe na masikini kaa mbali na Simba yetu fukara wahed wewe
Simba hii ya sasa imeshagraduate,sio ya kuendeshwa waganga njaa kama nyie,wanatakiwa watu wenye pesa ikiwezekana zaidi ya za Mo,sio nyie mafukara mnaotaka kuturudisha tulipotoka
Waanzishe timu yao waiendeshe kisasa, kama mpira ni pesa peke kwa nini Mo alishindwa kuifikisha Singida United fainali za Afrika?. Social capital (fan base) kwenye soka ni mtaji mkubwa sana. Mo hapo Simba siyo mwekezaji, ila mtu anayetaka jukwaa la Simba kutangaza biashara zake. Huu mfumo unaosema ni mbovu uliwahi kuifikisha Simba kwenye fainali ya vilabu Afrika. Hivyo Mo asiwahadae kuwa kuna kitu kikubwa sana alichokifanya.Ebu tuondoleeni uswahili wenu wa k.koo..tunataka mpira uendeshwee na wenye pesa mpira ni pesa sio ushabik wa kipuuzi puuz na wazee wa k.koo kuikalia team toka uhuru.
Simba leo inaenda had robo fainal nusu aingie semifinal..huko nyuma team ilikuwa ya kiswahl tu inaendeshwaa na waswahili..pelekeshen huko wachen wenye pesa waendeshe team.
Ingekuwa ni mimi yaan mo angepewaa hiyo yote aimilik tunataka team iende kimataifa zaid sio kuishia k.koo tu kwa waswahil
Aondoke hata usiku huu, na asisahau kuwabeba akina Barbara ili wakaendelee na mambo yao huko kwenye ukwaju.Kwa kile mimi nikiaminicho ni kuwa, Mo muda wowote ule atajiondoa ndani ya Simba.
Simba ni club kubwa, Mo haikutoa daraja la nne, kaikuta ikishinda vikombe kama kawaida.Mnataka kumfukuza Boss Mo, haiwezekani jamani, akiondoka tutaficha sura zetu wapi!
Yaani tuachane na timu yetu tukaanzishe timu nyingine? huyu Kanjibhai lazima atoke na genge lake. Alivyokuja tu na kuanza kudai hati za viwanja nilijua huyu kawazidi wale matapeli wa mtaa wa Congo.Na nyie kama mna uchungu kaanzisheni timu yenu sio kung'ang'ania simba huku mkiwa hamna faida yoyote kwa klabu yetu.
Tuambieni mna kipi cha ziada ili tuwapishe tuwape timu nyie mafukara msio na maana
Subirini J2 tukufungeni tena ili mfukuzane vizuriHuyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.
Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Wewe umeifanyia nini?Simba yenu wewe na nani,umewekeza share ngapi?,kama hata uwezo wa kununua jezi huna ukiachiwa utaifanyia nini
Hawa misukule wa Mo hawatakuelewa, kamweHuyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.
Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
Wewe masikini utaisaidia nn Simba?Tut
Hata Kama sisi Ni maskini Ila haifuti umiliki wetu kwa club hii. Na Kama Ana pesa tunamshauri akaanzishe ya kwake tuone Kama ataweza ifikisha alipoikuta Simba sc. Nakuakikishia timu yake haiwezi chukua hata ndondo cup
Hati hawezi kupewa,ila na nyie makapuku mmewekeza nn ktk klabu?Yaani tuachane na timu yetu tukaanzishe timu nyingine? huyu Kanjibhai lazima atoke na genge lake. Alivyokuja tu na kuanza kudai hati za viwanja nilijua huyu kawazidi wale matapeli wa mtaa wa Congo.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
We we ni yanga umetumwa, kama hujatumwa umejituma mwenyewe kuiharibu simba.... Daah! Njaa mbaya sana, pole sana, unalotaka litokee haliwezi tokea...Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.
Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
mimi namuunga mkono anayefanya Simba ing'are Afrika. Namuombea baraka biashara zake zizidi kunawiri huku nikitumia bidhaa zake. Familia yangu yote ina electronic card haiWewe umeifanyia nini?
We maku una kitu cha kuibiwa na Mo?Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu
Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.
Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.
Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi