Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Una kadi ya uanachama wa Simba SC na kama unayo uliipata mwaka gani?Bro we ni Boya kweli, Simba ipo kwa miaka mingapi na imechukua ubingwa mara ngapi bila Mwamedi kuwepo. Mwamedi haisaidii Simba bali amekuja Simba ili afaidike, Kama ni hivyo Simba nayo inapaswa kufaidika aweke 20b alizoahidi aache ujanja ujanja. Mbona African Lion aliikimbia Kama hakuna anachopata Simba. Mwamedi anajhitaji zaidi Simba kuliko imavyomhitaji sema tu basi timu zenyewe zina watu viazi Kama wewe!
Kama huna kaa kimya au piga kelele ukiridhika kunywa maji endelea na shughuli zako maana huna uamuzi wowote ndani ya Club yetu.