The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
- Thread starter
- #41
huu mchakato sio wa mwaka mmoja umachukua muda mrefu na sasa ndio upo ukingoni
Unaweza ukaniambia Mo ananufaika vipi na simba kwa sasa?
Mo ananufaika vipi?
Hili ni swali la kuuliza?
Mo brand huoni inavyofaidika na Simba?
Kama sportspesa wanalipa kutangazwa na Simba ..
Mo brands inalipa ngapi?Mkataba ukoje?