Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

huu mchakato sio wa mwaka mmoja umachukua muda mrefu na sasa ndio upo ukingoni

Unaweza ukaniambia Mo ananufaika vipi na simba kwa sasa?

Mo ananufaika vipi?
Hili ni swali la kuuliza?
Mo brand huoni inavyofaidika na Simba?
Kama sportspesa wanalipa kutangazwa na Simba ..
Mo brands inalipa ngapi?Mkataba ukoje?
 
Ndo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo..
Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice !
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado
simba "imesavaivu" vizuri kabla ya Mo. Hiyo mishahara kabla ya Mo ilikua inalipwaje? Ila tutaona mwisho wa yote haya.
 
Ndio ujue mswahili mswahili tu

Mwisho wa siku hata Mo akiweka hiyo pesa kwenye account italiwa na waswahili halafu mambo yote ya usajili, mishahara na kila kitu wataendelea kutegemea yeye.

Haya yeye Mo mwenye hisa 49% anatoa pesa ya usajili, mishahara na kajenga uwanja.

Tuambizane wenye hisa 51% wameshatoa nini ?

Mbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utaulizwa we unaweka ngapi?..
Simba brand ndo mtaji..kama hujui thamani ya Simba brand mwambie huyo Mo alipowekeza Singida united ilikuwaje hadi akakimbia?
 
Mo ananufaika vipi?
Hili ni swali la kuuliza?
Mo brand huoni inavyofaidika na Simba?
Kama sportspesa wanalipa kutangazwa na Simba ..
Mo brands inalipa ngapi?Mkataba ukoje?
ujue mo extra ni mdhamini anae jitegemea kwenye simba sio kawekwa tu
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] we unasema kweli
 
Bro we ni Boya kweli, Simba ipo kwa miaka mingapi na imechukua ubingwa mara ngapi bila Mwamedi kuwepo. Mwamedi haisaidii Simba bali amekuja Simba ili afaidike, Kama ni hivyo Simba nayo inapaswa kufaidika aweke 20b alizoahidi aache ujanja ujanja. Mbona African Lion aliikimbia Kama hakuna anachopata Simba. Mwamedi anajhitaji zaidi Simba kuliko imavyomhitaji sema tu basi timu zenyewe zina watu viazi Kama wewe!
Wewe ndio Boya no 1.yaani ulitaka awekeze pesa zake alafu asipate faida yeyote.Mimi kama mshabiki na mpenzi wa Simba nasema yote sawa kikubwa kwetu ni burudani na tunaipata basi.
 
Mbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utauliz
ujue mo extra ni mdhamini anae jitegemea kwenye simba sio kawekwa tu

Inayofaidika ni Mo extra peke yake?
Mkataba unasemaje?
Pesa analipwa nani?
 
Mbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utauliz

Inayofaidika ni Mo extra peke yake?
Mkataba unasemaje?
Pesa analipwa nani?
Pesa analipwa simba na mo extra
 
Duh mpaka leo mchakato haujakamilika tu? Huko kusema mchakato haujakamilika ni kujitetea kwa watu wajanja wajanja
Hapana mkuu ule ni mchakato mrefu sio sawa na kwenda sokoni kununua machungwa ila ndo upo ukingoni
 
Ndio ujue mswahili mswahili tu

Mwisho wa siku hata Mo akiweka hiyo pesa kwenye account italiwa na waswahili halafu mambo yote ya usajili, mishahara na kila kitu wataendelea kutegemea yeye.

Haya yeye Mo mwenye hisa 49% anatoa pesa ya usajili, mishahara na kajenga uwanja.

Tuambizane wenye hisa 51% wameshatoa nini ?
Eheeee! Nilikuwa nasubiri comment Kama hii,mijitu kazi yao ni kubwabwaja tu,Mo anamiliki 49% za hisa ambazo ni sawa na 20b. Haya hizo 21b za 51% zinabaki wao wameweka? Kwa uelewa wangu mdogo najua kwamba Simba ni Kama biashara ya mtaji wa 40b, ambapo Mo anapotoa 20b na washirika wengine nao watoe pia hiyo 20b ili kukamilisha mtaji ili Sasa running costs zote za klabu zitoke kwenye mtaji huo,Sasa nyie mnaowanga mchana kweupe eti Mo hajatoa 20b,nyinyi mmetoa inayowahusu?
 
Mpira wa kibongo miyeyusho.

Timu hua hazijifunzi.

Zitapitia shida ile ile kila mwaka ila hamna kujifunza hata punje.

Walianza Yanga. Manji anaihitaji Yanga kuliko Yanga inavyomhitaji Manji.

Yakatokea ya kutokea hadi leo timu inasua sua.

Naon Simba wanajiandaa kufuata mkumbo. Kwamba Mo anaihitaji Simba kuliko Simba inavyomhitaji Mo? Au siyo?

Yaani hapa Bongo Yanga akizingua na kua omba omba msimu huu usishangae misimu miwili mbele Simba ikafuata mkondo huo huo.

Na hawajui kujitegemea na hawajawahi kua na Miami ya kujitegemea
Ni hivi mkuu...Kuna watu tangu Simba ibadili mfumo kula yao imekua ngumu pale kilabuni..hivyo wanamuona Mo kama mwiba kwao...hakuna dili za kwenda chimbo kwa waganga...hakuna kuja na mchezaji wako..wanachofanya sasa ni kujaribu kuwaletea zengwe makocha...nayo inaonekana dili zinakua ngumu...ndo wanataka bl 20 wakati hawana cha kununua nazo ni kuleta zengwe tu ili kutest mitambo kama kuna tingishika.

Wengine wana asili ya wivu tu kama tulivyo wabongo wengi wanaona Mo anapata airtime...wanahisi anatajirika kupitia Simba...wivu unawatoa mpaka akili kama ilivyo kawaida ya wivu au mapenzi yalopitiliza kutoa watu akili.

Msimamo ni kwamba hatutawaangalia waiharibu Simba...yaani hatuwezi kurudi tena Misri...miaka mitano bila kombe wakati sasa tunaelekea Kaanan miaka mitatu kombe letu...makombe matatu kwa msimu...Robo fainali CL...Mo Arena kwenye progress...Simba Queens mabingwa wakiwavua utawala JKT Queens

Ushauri ni kwamba watafute kazi nyingine ujanjaujanja umebana kote tu siyo Simba peke yake...na wale wenye wivu waache wivu wa "Kike"
 
Mimi kama shabiki nisiye mwanachama wa timu, nachotaka timu ishinde makombe nifurahi tu. Suala la timu inamilikiwa na nani halinihusu kabisa
 
Ndo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo..
Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice !
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado

He has a point balance story hajaongea total rubbish pls, you too have a point, what if MO was to quit today?what would be the situation with Simba SC?, how predictable is the Mo Dewiji situation with Simba SC as of now?
There is a lot to argue, Simba SC as a company/institution/Organization how rooted is it in terms of legal structure and other structures for it's sustainability with the recent reforms that the club went through in recent years? Club liquidity and it's assets, lastly a funny question, What/Who is Simba SC any way? Sporadic/spontaneous enterprises mgt has its own cost let's live the bite!. Wasaalam
 
Wewe ndio Boya no 1.yaani ulitaka awekeze pesa zake alafu asipate faida yeyote.Mimi kama mshabiki na mpenzi wa Simba nasema yote sawa kikubwa kwetu ni burudani na tunaipata basi.
Nisome vizuri we kenge. Ninachokiona ni kenge kama wewe mnaodhani Mwamedi anaisaidia Simba wakati ni biashara Kama makubaliono ni kuweka 20b aweke. Mbona yeye ameanza kujipa sujui Mwenyekiti wa Bodi, anatangaza biashara zake kupitia Simba, Sasa kwanini anafanya ujanja ujanja, aweke fedha ziwe mali ya Simba na Simba wafanye mambo kwa kutumia fedha za Simba siyo zake, siyo kila siku anajidai fedha anatoa yeye.
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.

Azam 5B
Sportpesa 5B
Vodacom 5B

Jumla = 15B

Halafu Mtu kama wewe unajifanya Mjuwaji
 
Mo aendelee kuwepo pale Simba ili mambo yaendelee kuwa mazuri zaidi ya sasa.kama kuna faida kubwa Mo anapata basi azidikupata na Simba itazidi kunawiri.
 
Back
Top Bottom