Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

Bro we ni Boya kweli, Simba ipo kwa miaka mingapi na imechukua ubingwa mara ngapi bila Mwamedi kuwepo. Mwamedi haisaidii Simba bali amekuja Simba ili afaidike, Kama ni hivyo Simba nayo inapaswa kufaidika aweke 20b alizoahidi aache ujanja ujanja. Mbona African Lion aliikimbia Kama hakuna anachopata Simba. Mwamedi anajhitaji zaidi Simba kuliko imavyomhitaji sema tu basi timu zenyewe zina watu viazi Kama wewe!
Una kadi ya uanachama wa Simba SC na kama unayo uliipata mwaka gani?

Kama huna kaa kimya au piga kelele ukiridhika kunywa maji endelea na shughuli zako maana huna uamuzi wowote ndani ya Club yetu.
 
Umejidhalilisha tu, yeye hakuwa mjinga kuahidi kitu ambacho hawezi,isitoshe kwenye makubaliano haya kuna mkono wa serikali unapomtaja magufuli ni dharau kwa serikali yake ambayo ilisimamia mchakato wa umiliki kupitia wizara ya michezo, bila mo simba ingekuwa kama club zingine tia maji tia maji, acha chokochoko subiri mchakato ukamilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.
Mo sawa ni tapeli haya kaondoka leo wewe una hata million 3 ya kumlipa mchezaji mmoja tu kila mwezi?

Una uanachama wa Simba SC?
Hatujali kuhusu wazee wako na hatutajali, tunachojali ni sisi wanachama tumefanya maamuzi haya basi.
 
Wewe ni moja kati ya wale mnaofanya serikali icheleweshe bangi kuruhusiwa!

Eti Voda B Azam B Sportpesa B yani unaandika kama umeshikwa na tumbo la kuhara
Kiongozi, popote utakapomuona mtu anazungumzia habari za Simba B au Yanga B timu ambazo nazo zinashiriki ligi kuu huyo ni kilaza.

Hata usimpe airtime kabisa ni shabiki maandazi mpiga kelele tu hana impact yoyoye.
 
Una kadi ya uanachama wa Simba SC na kama unayo uliipata mwaka gani?

Kama huna kaa kimya au piga kelele ukiridhika kunywa maji endelea na shughuli zako maana huna uamuzi wowote ndani ya Club yetu.
Ha ha ha ha ha, eti una uamuzi gani? Yaani akiyefanya hizi timu zikawa Dar ndiye aliyekosea maana nyie Wazalamo mkishapakizwa kwenye Costa mkapewa ubwabwa basi kila kitu sawa. Eti huko ndo kuamua!
 
Kwa Nini msirekebishe mikataba au mfute hile isiyo na tija...
Ana hata uwezo wa kupata 50k kwa siku huyo?
Tumkabidhi tu Patrick amlipe kwa miezi miwili akiweza nachana kadi yangu ya uanachama.
 
Ha ha ha ha ha, eti una uamuzi gani? Yaani akiyefanya hizi timu zikawa Dar ndiye aliyekosea maana nyie Wazalamo mkishapakizwa kwenye Costa mkapewa ubwabwa basi kila kitu sawa. Eti huko ndo kuamua!
Mimi ni Msukuma wa Mwanza sina uzaramo wala upwani wowote.

Nina kadi ya uanachama wa Simba toka 2007 nimeshiriki shughuli mbalimbali za club, nimeshiriki kwenye maamuzi mbalimbali ya club na kubwa kabisa nimeshiriki katika mabadiliko ya kimfumo ya club yetu.

Hivyo mimi sio SHABIKI wa Simba mimi ni Mwanachama wa Simba SC niliye hai.
Nyinyi mtapiga kelele weee hata hatuwajadili tunapokutana hata kidogo tunafanya yanayotuhusu kwa tashwishwi zetu sio zenu wapiga kelele.
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.
Akitoka utailea simba wewe?
 
Kwani nani kasema anafanya kwa hasara?

Saiv wanaweka mambo sawa ili baada ya mchakato ndipo waanze kupata faida.

Hamna biashara utapata faida bila kuwekeza mkuu
[/QUOT

Robo Tatu ya mashabiki na wanachama wa Simba wanaamini MO hapati chochote kwa sasa ila yeye anatumia pesa zake mfukoni kuwafurahisha mashabiki na wanachama. Hata upande wa pili wanaamini GSM anatumia pesa zake hakuna akipatacho so anafanya ipi kuwaridhisha familia ya wanayanga.

Lakini nijuavyo mimi hizi rangi nyeupe hazijawahi kufanya biashara isiyokua na faida (yani miaka mitatu mchakato bado!! Na sisi tunaamini halina delaism hilo jambo ila mabadiliko ni magumu)
Labda hayo mabadiliko yanahusu kuibadili dunia.
 
Mimi ni Msukuma wa Mwanza sina uzaramo wala upwani wowote.

Nina kadi ya uanachama wa Simba toka 2007 nimeshiriki shughuli mbalimbali za club, nimeshiriki kwenye maamuzi mbalimbali ya club na kubwa kabisa nimeshiriki katika mabadiliko ya kimfumo ya club yetu.

Hivyo mimi sio SHABIKI wa Simba mimi ni Mwanachama wa Simba SC niliye hai.
Nyinyi mtapiga kelele weee hata hatuwajadili tunapokutana hata kidogo tunafanya yanayotuhusu kwa tashwishwi zetu sio zenu wapiga kelele.
Maamuzi gani Wanachama mlishawahi kufanya zaidi ya kubwebwa na Costa na kwenda kukaa zeni mnasema limepita. Hakuna mnachoamua the so called wanachama!
 
Simba SC inafaidika zaidi na uwepo wa MO kuliko MO anavofaidika na Simba SC
Hakuna kitu kama hicho...
Hakuna mfanyabiashara anayefanya biashara isiyomfaidisha.

Hoja yako haina mashiko au mwenzetu unaweza kufanya biashara isiyokufaidisha binafsi lakini inamnufaisha mkeo/mpenzi yaani ukiifanya hupati kitu lakini yeye (mkeo/mpenzi anatabasamu)
 
Kwani nani kasema anafanya kwa hasara?

Saiv wanaweka mambo sawa ili baada ya mchakato ndipo waanze kupata faida.

Hamna biashara utapata faida bila kuwekeza mkuu
Hivi huu mchakato wa transformation ya Simba Sport Club unaisha lini. Maana inaweza kuwa Mo anatumia umaskini wa Simba kujinufaisha yeye.
 
Mpira wa kibongo miyeyusho.

Timu hua hazijifunzi.

Zitapitia shida ile ile kila mwaka ila hamna kujifunza hata punje.

Walianza Yanga. Manji anaihitaji Yanga kuliko Yanga inavyomhitaji Manji.

Yakatokea ya kutokea hadi leo timu inasua sua.

Naon Simba wanajiandaa kufuata mkumbo. Kwamba Mo anaihitaji Simba kuliko Simba inavyomhitaji Mo? Au siyo?

Yaani hapa Bongo Yanga akizingua na kua omba omba msimu huu usishangae misimu miwili mbele Simba ikafuata mkondo huo huo.

Na hawajui kujitegemea na hawajawahi kua na mipango ya kujitegemea

Umesahau Manji akijifanya anafadhili na kutusaidia Yanga akaja kuwaandikia deni hela yake yote nusu anunue club bure kabisa?
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.

Watu njaa njaa hawatakuelewa
 
Ngoja tumwondoe MO tumrudishe Mzee wetu Kilomoni.
Simba hatutaki kuongopewa.
MO anapata faida tu huku Simba ikipata hasara kubwa.
Bora tubaki kama Zamani
 
Hivi huu mchakato wa transformation ya Simba Sport Club unaisha lini. Maana inaweza kuwa Mo anatumia umaskini wa Simba kujinufaisha yeye.
huu mchakato sio wa mwaka mmoja umachukua muda mrefu na sasa ndio upo ukingoni

Unaweza ukaniambia Mo ananufaika vipi na simba kwa sasa?
 
Ndo leo leo tangu nimeingia jf, nimeona The boss umeandika utopolo..
Hivi mtu anatoa mabilioni analipa mishahara na kusajili wachezaji Bado mnaona utapeli.
Wewe uliwahi kununua hata jezi yasimba kuchangia klabu au kutoa mchango was hata 800,000 kwa wafanyakazi wa klabu ? Kabla ya kusema Mo tapeli think twice !
Je bila Mo mna power ya kusavaivu kwa muda upi. Wenye chokochoko Wengi unakuta huna hata kadi ya uanachama hapo.
#mchakato bado

Simba ilikuwepo kabla Mo hajazaliwa
Ili survive vipi?Au hujui?
 
Back
Top Bottom