Simba itakua kama buyern tutabeba vikombe miaka 10 mfululizoMo amewashika masikio mikia
Pole sana.Maamuzi gani Wanachama mlishawahi kufanya zaidi ya kubwebwa na Costa na kwenda kukaa zeni mnasema limepita. Hakuna mnachoamua the so called wanachama!
Kwa hiyo unatakaje? Atoke au? Na akitoka wewe manyani fc mtafaidika nini?Mo amewashika masikio mikia
Umesahau Manji akijifanya anafadhili na kutusaidia Yanga akaja kuwaandikia deni hela yake yote nusu anunue club bure kabisa?
Mtoa mada ni shabiki wa utopolo 🐸 🐸..Mzee mwenzangu leo sijakuelewa kabisaaaaaa sijui umekula maharagwe ya wapi [emoji23]
Kwa mujibu wa taratibu sioni Magufuli anahusikaje na hili
Pili wewe hujui mikataba inasemaje kuhusu hizo b20 kwamba zitatokaje kwa awamu ngapi na baada ya stage ipi ya transformation
Tatu hujui chochote kuhusu ruzuku kama ni sehemu ya mkataba na haihusiani na 20b
Kuhusu matangazo mzee baba ni sehemu ya mkataba Mo kuwa mwekezaji mapesa yote hayo ni matangazo yatakayo mlipa zaidi kuliko gawiwo unalofikiria wewe
So relax mkuu kila kitu kinakwenda accordingly to mkataba
Mo anamkataba na Simba na hakuna mahali umesikia Simba SC imelalamika Mo anaitapeli
Sijui wewe ni shabiki wa timu gani lakini kwanini wasio kuwa wana simba ndio wanajifanya wanauchungu sana na Simba kutapeliwa na Mo?.........najiuliza tu
Kweli yale majengo ya simba unaweza kukopea ukapata hizo bil 20?Tatizo mtu anapotoa mada hizi watu wanajadili kiushabiki tena wanakushambulia na matusi juu na mo anatumia watu kama hao kama kinga yake.
Nkwabi alipohoji hizo pesa alikuwa anapiga vijembe Twitter na kumgombanisha na wanachama wa simba .
Mo kutoa bilioni 20 si hisani ni wajibu wake na hizo pesa anazotoa ni faida anayopata kwa kuweka fixed account.
Aliwapumbaza simba wasimpe timu mtu mwingine bila yeye kumbuka alivyogombana na uongozi wa simba kuongia mkataba na sportpesa aliona kama simba wakipata udhamini mkubwa yeye asingepata simba kwa bei rahisi.
Alikuwa anataka hati ya jengo ili akakopee benki lakini kina Kilomoni walimshitukia
Km engineer anavyowafanya km anavyotaka hadi mnambeba km nyie watumwatatizo huko simba wana washabiki oyaoya wengi, Mo anajifanyia atakavyo
Kwahiyo ukinunua hisa zako VodaCom za 2% mzigo wote wa matumizi ya kila siku ya kampuni yanakuhusu wewe na wengine wenye 98% ya hisa haiwahusu kwasababu VodaCom ni brand kubwa.Mbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utaulizwa we unaweka ngapi?..
Simba brand ndo mtaji..kama hujui thamani ya Simba brand mwambie huyo Mo alipowekeza Singida united ilikuwaje hadi akakimbia?
kule wanafanya kwa hiari , ila Mo amesaini anahitajika kutekeleza, Mo ameshajua oyaoya wao furaha yao ni kuwa juu ya yanga anatumia vijisenti kidogo kupata matokeo nje ya uwanja, Mo please wawekee Simba bilioni 20, hizo bilioni 3 za kila hamhakubaliana hivyo!Km engineer anavyowafanya km anavyotaka hadi mnambeba km nyie watumwa
Kabisa MkuuMimi kama shabiki nisiye mwanachama wa timu, nachotaka timu ishinde makombe nifurahi tu. Suala la timu inamilikiwa na nani halinihusu kabisa
Umesahau Manji akijifanya anafadhili na kutusaidia Yanga akaja kuwaandikia deni hela yake yote nusu anunue club bure kabisa?
Huyu mo huwa ni muongo muongo mkuuMO nimemuona kibuyu kusema ET walimfukuza uchebe ET kwa sababu malengo yao yalikuwa kufika group stage au semi finals pia ET kishingo ameambiwa lengo n kufika group stage au semi finals that is foolishness kwa wachezaji gan aliowasajili n mweupe kichwan Sana
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?
Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote '
Hadi anaweza kuwazidi Azam Kwa sales...hadi Diamond kampa free promo Kwa kupitia Simba..
Toka ajihusishe na Simba mauzo ya Bidhaa zake yame tripple na amekusanya zaidi ya hizo bilion 3 kila siku Kwa faida..halafu bila aibu anakuja kusema anatoa ruzuku Simba...
Magufuli atusaidie kumdhibiti huyu Mo..agharamie matangazo yote ya Bidhaa zake kimkataba na atoe hela Kwa mujibu wa mkataba
Anayemiliki mo energy ni fatma dewjiAcha wivu wee mo Ana mkataba na Simba kupitia kichwaji chake Cha mo energy
Acha ushabiki maandazi wewe
Hiv unajua spotpesa anatoa hiyo blion 5 kwa mda gani?
Voda nae anatoa hiyo hela kwa mda gani?
MO pale Simba anafaidika na nini? Anatoa hela nyingi kuliko anazoingiza ndiyo maana anapambana Simba ifanye vizuri Champions league ila siyo VPLHakuna kitu kama hicho...
Hakuna mfanyabiashara anayefanya biashara isiyomfaidisha.
Hoja yako haina mashiko au mwenzetu unaweza kufanya biashara isiyokufaidisha binafsi lakini inamnufaisha mkeo/mpenzi yaani ukiifanya hupati kitu lakini yeye (mkeo/mpenzi anatabasamu)
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.
Umeandika ukweli ila sidhani kama hawa mikia watakuelewa! Na Mwamedi ameshawajulia......!.