Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

Maamuzi gani Wanachama mlishawahi kufanya zaidi ya kubwebwa na Costa na kwenda kukaa zeni mnasema limepita. Hakuna mnachoamua the so called wanachama!
Pole sana.
Endelea kujichosha hakuna anayejali hata kidogo tumewapuuza zamani sana kabla hata ya Instagram!
 
tatizo huko simba wana washabiki oyaoya wengi, Mo anajifanyia atakavyo
 
Mzee mwenzangu leo sijakuelewa kabisaaaaaa sijui umekula maharagwe ya wapi [emoji23]

Kwa mujibu wa taratibu sioni Magufuli anahusikaje na hili

Pili wewe hujui mikataba inasemaje kuhusu hizo b20 kwamba zitatokaje kwa awamu ngapi na baada ya stage ipi ya transformation

Tatu hujui chochote kuhusu ruzuku kama ni sehemu ya mkataba na haihusiani na 20b

Kuhusu matangazo mzee baba ni sehemu ya mkataba Mo kuwa mwekezaji mapesa yote hayo ni matangazo yatakayo mlipa zaidi kuliko gawiwo unalofikiria wewe

So relax mkuu kila kitu kinakwenda accordingly to mkataba
Mo anamkataba na Simba na hakuna mahali umesikia Simba SC imelalamika Mo anaitapeli

Sijui wewe ni shabiki wa timu gani lakini kwanini wasio kuwa wana simba ndio wanajifanya wanauchungu sana na Simba kutapeliwa na Mo?.........najiuliza tu
Mtoa mada ni shabiki wa utopolo 🐸 🐸..
 
Tatizo mtu anapotoa mada hizi watu wanajadili kiushabiki tena wanakushambulia na matusi juu na mo anatumia watu kama hao kama kinga yake.
Nkwabi alipohoji hizo pesa alikuwa anapiga vijembe Twitter na kumgombanisha na wanachama wa simba .
Mo kutoa bilioni 20 si hisani ni wajibu wake na hizo pesa anazotoa ni faida anayopata kwa kuweka fixed account.
Aliwapumbaza simba wasimpe timu mtu mwingine bila yeye kumbuka alivyogombana na uongozi wa simba kuongia mkataba na sportpesa aliona kama simba wakipata udhamini mkubwa yeye asingepata simba kwa bei rahisi.
Alikuwa anataka hati ya jengo ili akakopee benki lakini kina Kilomoni walimshitukia
Kweli yale majengo ya simba unaweza kukopea ukapata hizo bil 20?
Kuwa serious na vitu vya msingi
 
Mbona unauliza maswali kama mtoto?
We ukiwa na dhahabu akija mtu ukampa asilimia 49 achimbe mgawane ..utaulizwa we unaweka ngapi?..
Simba brand ndo mtaji..kama hujui thamani ya Simba brand mwambie huyo Mo alipowekeza Singida united ilikuwaje hadi akakimbia?
Kwahiyo ukinunua hisa zako VodaCom za 2% mzigo wote wa matumizi ya kila siku ya kampuni yanakuhusu wewe na wengine wenye 98% ya hisa haiwahusu kwasababu VodaCom ni brand kubwa.

Huu ni uchumi wa wapi ?
 
Km engineer anavyowafanya km anavyotaka hadi mnambeba km nyie watumwa
kule wanafanya kwa hiari , ila Mo amesaini anahitajika kutekeleza, Mo ameshajua oyaoya wao furaha yao ni kuwa juu ya yanga anatumia vijisenti kidogo kupata matokeo nje ya uwanja, Mo please wawekee Simba bilioni 20, hizo bilioni 3 za kila hamhakubaliana hivyo!
 
MO nimemuona kibuyu kusema ET walimfukuza uchebe ET kwa sababu malengo yao yalikuwa kufika group stage au semi finals pia ET kishingo ameambiwa lengo n kufika group stage au semi finals that is foolishness kwa wachezaji gan aliowasajili n mweupe kichwan Sana
 
MO nimemuona kibuyu kusema ET walimfukuza uchebe ET kwa sababu malengo yao yalikuwa kufika group stage au semi finals pia ET kishingo ameambiwa lengo n kufika group stage au semi finals that is foolishness kwa wachezaji gan aliowasajili n mweupe kichwan Sana
Huyu mo huwa ni muongo muongo mkuu
 
Acha wivu wee mo Ana mkataba na Simba kupitia kichwaji chake Cha mo energy
 
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?

Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote '
Hadi anaweza kuwazidi Azam Kwa sales...hadi Diamond kampa free promo Kwa kupitia Simba..


Toka ajihusishe na Simba mauzo ya Bidhaa zake yame tripple na amekusanya zaidi ya hizo bilion 3 kila siku Kwa faida..halafu bila aibu anakuja kusema anatoa ruzuku Simba...

Magufuli atusaidie kumdhibiti huyu Mo..agharamie matangazo yote ya Bidhaa zake kimkataba na atoe hela Kwa mujibu wa mkataba

Unajua maana ya uwekezaji kweli au unapiga kelele? Mo anacho kifanya anatengeneza miundo mbinu sahihi ya uwekezaji ambayo simba waliingia pasipo kuwa nayo. Simple , simba ni club ya mpira kubwa kabisa, ilikuwa haina uwanja wa mazoezi, haina hata, haina facilities za mazoezi , kulipa wachezaji na mgt tuu ni tatizo unataka aweke 20B then wakatengeze miundo mbinu , kulipana huko huku ikishika nafasi ya 10 kwenye ligi? Uwekezaji unatakiwa kuendana na. Mazingira bora ndio kaana nyie CDM mnabweka kila siku wakati JPM anaandaa umeme wa uhakika, barabara n.k mnabaki kuvimba vimba tuu [emoji1]
 
Acha ushabiki maandazi wewe

Hiv unajua spotpesa anatoa hiyo blion 5 kwa mda gani?

Voda nae anatoa hiyo hela kwa mda gani?

Unao mkataba kati ya simba na Mo ? weka hapa na sio kutema mate ovyo ovyo. Hujui lolote zaidi ya roho ya kimaskini na wivi njaa vinakusumbua
 
Hakuna kitu kama hicho...
Hakuna mfanyabiashara anayefanya biashara isiyomfaidisha.

Hoja yako haina mashiko au mwenzetu unaweza kufanya biashara isiyokufaidisha binafsi lakini inamnufaisha mkeo/mpenzi yaani ukiifanya hupati kitu lakini yeye (mkeo/mpenzi anatabasamu)
MO pale Simba anafaidika na nini? Anatoa hela nyingi kuliko anazoingiza ndiyo maana anapambana Simba ifanye vizuri Champions league ila siyo VPL
 
Simba imeporwa na mafisadi ki mafia.
Azam tv anatoa bilion 5 za matangazo
Sportspesa anatoa billion 5
Voda 5 billion
Yeye anaetumia brand ya simba atakavo ndo anatoa 3 b ? Ndio apewe simba kuimiliki by 70% ?
Katika Masharti ya "kumuuzia" club yetu ni kujenga uwanja a mpira wa kisasa na kutoa premium ya 20billion itayo wekezwa ili kuondoa utegemezi.
Yote hajafanya hilo. Ni kinyume na mkataba hivo kisheria umevunjika.
Utapeli alioufanya ili kuwadhibiti wanachama ni kuwapa share wote kwa kugawana 20% ya shares.
Hivo kawaziba mdomo kwani wamepata hisa bila kulipa kitu.
Haji manara ndio mpiga domo wake kubabaisha watanzania juu ya utapeli huu.
Ametumia vyombo vya dola kuwadhibiti wapinzani wa fisadi huu.
Mo imetapeli viwanda na ma gowdown kibao yalio kuwa RTC sasa ametapeli Simba timu iliojengwa kwa jasho na wazee wetu.
Screenshot_20200822-211719.png


Sidhani kama wewe ni mwanachama, au shabiki wa Simba. Unaonyesha ni jinsi gani unapenda Simba iharibikiwe!
Umeandika ukweli ila sidhani kama hawa mikia watakuelewa! Na Mwamedi ameshawajulia......!.
 
Back
Top Bottom