Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

Mi mwenyewe mwanaume anayeshinda nyumbani sijui namuonaje?

Mambo ya kimama kabisa
 
Mi mwenyewe mwanaume anayeshinda nyumbani sijui namuonaje?

Mambo ya kimama kabisa
Eti jamani halafu mke wake anaondoka kwenda kazini asubuhi imagine mh kama alivyosema kila mtu ana namna yake ya kuishi. Ila mwanaume wa aina hiyo ni total turn off
 
Hawakawii kumwagiza awaletee unga nusu na robo halafu kulipa matanga kisa majirani.
 
haha
hataki wajue maisha yake ila yupo hapa anatuambia kuhusu biashara zake
 
Hizo story unazosemwa 90% ni kweli... mtoto wa miaka 26 umeoa, una viboashara sijui mwisho wa siku unarudi nyumbani asubuhi tu si kweli! Wewe ni Marioo.
 
Hiyo ni kawaida,kikubwa mind your business hamna mtu hasemwi kikubwa we ndo unajua maisha yako.
Yaani mpaka leo huwajui wanawake tena wanaokaa nyumbani bila kazi?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Labda ubadilike,mwanaume kushinda nyumbani sio jambo la kawaida hata kama umeshatega tega sidhani kama kuna ofisi huwezi kutoka asubuhi alafu ukarudi mida ya sa kumi au sa kumi na moja,mwanamke ashinde kazini alafu we ushinde nyumbani
Ok na kwenye ofisi ya mkeo huwezi enda?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
hakuna unalojua kuhusu maisha yangu. kifupi hayo ndio maisha nilio chagua na nina yapenda. na kuhusu kuajiri vijana nitaendelea kuajiri kadri mungu atakapo endelea kunijaalia riziki
Ulivyoandika hii story inaonyesha wewe ni mwajiriwa wa huyo jamaa aliyekusimulia huu mkasa, ila ukaona uugeuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…