Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

Kaniacha ilihali sijamgegeda. Moyo unauma, mara mia ningekuwa walau nimepima oil
Afadhali sasa kila kitu kiko wazi. Naye kumbe hana mpango nawe ndio maana kasema hana mtu. Endeleeni kugegedana tu huku mkitafuta watu wenu.
 
Sijamchamba, bali nimemsikitikia. Kama anakataa vijana wa rika kama yangu, wenye muonekano na usmart huu, walioamua kujitolea tu walau kumsitiri kama sio kuistiri mbususu yake na kuwatolea maneno ya kashfa namna hii, hivi maisha yake anayaweka kwenye rehani ya aina ipi ilihali muonekano wake hauvutii? Plus ngozi yake kama ya mamba na macho yake kama ya bundi?
🤣🤣🤣🤣 brazaaaaa tafuta hela brazaaa mapenzi yatakuua
 
Sijamchamba, bali nimemsikitikia. Kama anakataa vijana wa rika kama yangu, wenye muonekano na usmart huu, walioamua kujitolea tu walau kumsitiri kama sio kuistiri mbususu yake na kuwatolea maneno ya kashfa namna hii, hivi maisha yake anayaweka kwenye rehani ya aina ipi ilihali muonekano wake hauvutii? Plus ngozi yake kama ya mamba na macho yake kama ya bundi?
Hukuyaona hayo kabla??Acha kujidhalilisha dogo,,kwani MTU akiwa kama hivyo ulivyo andika ndio kigezo cha kukukubali??uliamini na ulijihakikishia kwa jinsi alivyo na jinsi ulivyo huwezi kataliwa ona sasa umeumbuka na kudhalilika,,chukua kama funzo itakusaidia ukileta ujuaji utapoteza zaidi
 
Back
Top Bottom