Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

Kaniacha ilihali sijamgegeda. Moyo unauma, mara mia ningekuwa walau nimepima oil
Afadhali sasa kila kitu kiko wazi. Naye kumbe hana mpango nawe ndio maana kasema hana mtu. Endeleeni kugegedana tu huku mkitafuta watu wenu.
 
🤣🤣🤣🤣 brazaaaaa tafuta hela brazaaa mapenzi yatakuua
 
Hukuyaona hayo kabla??Acha kujidhalilisha dogo,,kwani MTU akiwa kama hivyo ulivyo andika ndio kigezo cha kukukubali??uliamini na ulijihakikishia kwa jinsi alivyo na jinsi ulivyo huwezi kataliwa ona sasa umeumbuka na kudhalilika,,chukua kama funzo itakusaidia ukileta ujuaji utapoteza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…