Huyu mrembo kusema ukweli nampenda sana . Sema ndio hivyo

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679

Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫

Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006.

Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔.
Binti wa zamani utatia neno hata kama ni masimango😓
 
Pambani kombe mkuu!

Huwezi jua nae anataka mtu kama wewe
 
endeleeni kuwatamani hao warembo wa kwenye DOA ila huku mtaani kwenu tupo wakina sisi😚 na hakuna namna mtatukwepa
Hao wanajua kuoga na hawanukinuki Harufu za ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…