Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Inabidi iwe hivyo, jua limekuwa kali sanaAjue una ela mingi alafu tafuna sepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi iwe hivyo, jua limekuwa kali sanaAjue una ela mingi alafu tafuna sepa
wee sema kweli😋bonge la jimama
Kuoa ni gharama, kukihudumia kiumbe kinachopumua si kazi ndogo; asubuhi, mchana, usiku, mavazi, matibabu, saluni; bado nipo nipo kwanza 😀Acha kuangaika oa kijana.
Ukiwa na mke unapata ukitana hata kila siku tena bure.
Ndio hivyo ila usisahau mpiraInabidi iwe hivyo, jua limekuwa kali sana
Mkuu tafuta mama yeyo wakueleweka weka ndani.Inabidi iwe hivyo, jua limekuwa kali sana
Anafanana na wale wa kwenye uzi wa pisi kali 😀wee sema kweli😋
Huo ni muhimu sanaNdio hivyo ila usisahau mpira
Acha uoga kijana.Kuoa ni gharama, kukihudumia kiumbe kinachopumua si kazi ndogo; asubuhi, mchana, usiku, mavazi, matibabu, saluni; bado nipo nipo kwanza 😀
Wanafilisi sana, kuja kushtuka kichwa chote kimejaa mvi huna pa kulalaMkuu tafuta mama yeyo wakueleweka weka ndani.
Utanishukuru baadae.
Hawa wa one night stand ni hatari na utapoteza pesa tu.
Wazo zuri sana hili, nitalifanyia kazi mwakaniAcha uoga kijana.
Kuwa mwanaume maana yake ni kuwa kiongozi.
Wewe na ujanja wako unashinda kupambana kupata pesa yakutunza familia?
Familia ni chanzo cha furaha ya kweli na kufahamu uwajibikaji.
Uko sahihi, inabidi kusali sanaUkiichagua zinaa hakika matokeo yake ni yatakua yale yenye kuangamiza.
Good luck
Nakutakia kheri ndugu Equation x.Wazo zuri sana hili, nitalifanyia kazi mwakani
Kuna age ukiifikia ni kumuomba tu Mungu akusimamie maana vichocheo vya uzinzi vinazalishwa kwa kasi ya ajabu.Uko sahihi, inabidi kusali sana
Wanasema, aombaye upewa; kweli maombi yamejibiwaJuzi si ulikuwa unataka mrembo huyo SASA kaja😂😂
😀 😀 😀 picha unataka uifanyie nini?SaUUwaaa,,hata picha Basi ya Shepu la huyo Mshangazii!!
Kweli mkuu, ingawa ndoa na zenyewe zina changamoto kama tunazoziona kila siku hapa dunianiNakutakia kheri ndugu Equation x.
Kama nilivyosema awali, familia ni chanzo cha furaha na upendo wa kweli...