Ndiyo ni kazi lakini inawezekana.
Tutumie mfano upo kwenye early 20s
1. Jifunze ujuzi fulani ambao utakupatia kazi ili uwe na kipato.
2. Tumia pesa unayoipata kwenye kazi/ajira yako kununu kiwanja/viwanja halafu jenga boma lako. Hadi hapa umemaliza mtihani wa kwanza, upo na kwako hata kama ni chumba kimoja.
3. Ukifanikisha namba 2 maana yake wewe ni komando sasa nini kingine kitakushinda? Hauhitaji kuwa mali kuzidi watu wote, la hasha, uwe tu unamiliki assets lakini pia upo na kazi/ajira inayokupatia pesa ya msosi hapo home lakini pia yakulipia school fees za watoto kama ukiwa nao.